Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

Thanks so much, nawapambania Sana Hawa watoto
 
Correct Sir, hapa naona tubadili mfumo mzima wa elimu
 
Received with thanks
 
Viajira....,aisee sawa #great thinker
 
Binafsi naona wasome Alevel ( Form V & VI).
mfano; wakisoma PCB/PCM miaka 2 wakifaulu watakwenda kusoma Chuo kikuu kwa miaka sawa na mtu aliyepitia Diploma; ina maana mwenye Diploma ndiye anapoteza mwaka mmoja kwa kuwa Dip ni miaka 3.
Uzoefu wangu:
Baada ya kusoma masomo ya A level kwa kiasi kikubwa kijana hujitambua, hujiamini na kuwa tayari kuanza kujitegemea (hata kukaa chuoni bila uangalizi mkubwa) tofauti na wanafunzi wa Form four ambapo wengi wao wana akili ya kitoto (hawana uwezo wa kujisimamia) lakini pia hufuata sana mkumbo....
 
Be blessed
 
Hapo wamefaulu vp wakiteleza tunaomba mchanganuo wake
 
Hapo wamefaulu vp wakiteleza tunaomba mchanganuo wake
Umamaanisha wakifeli Form six? nafikiri hata kwa Diploma hasa za masomo ya saiyanzi watu huwa wanafeli?
  • Lakini wakifeli Form Six bado wananafasi ya kusoma Diploma ambapo inakuwa raisi kwao hivyo kufaulu na kwenda Chuo kikuu; wakati wale waliokwenda Diploma wakifeli wanabakia na cheti (certificate)
Mimi naungana moja kwa moja na hao wazazi;
Mwanafunzi aliyefaulu Vizuri acha aende Form v & vi, na yule mwenye ufaulu wa kati acha aanzie diploma. Kuna tofauti kubwa hasa ya kujiamini kwa mwanafunzi aliyepita form v & vi.
 
Umemalizaaaa?
 
Kwani siku hizi zoo hawaendi Tosa boys? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha story za kitambo mwe, siku za graduation hapo baada ya kula pilau tunasubiri gari ya kutoka zoo tupogkee wageni.. [emoji24]
 
WARUDI NYUMBANI TU... NI BORA KUKAA NYUMBANI KULIKO UPUUZI WA A-LEVEL.
 
Mmoja kasema anapenda Sana sanaa ,na mwingine kasema anapenda Sana mifugo ,na wakisoma hata wasipopata kazi watakuwa wamefanya wakipendacho na watamlaumu mtu
Huyu wa mifugo hata mimi namuunga mkono kusomea udaktar wa mifugo kwa level ya diploma tanzania hata usipoajiriwa huwez kufa njaa nina mwaka 5 sasa sijaajiriwa lakin naishi vizuri tu kama nimeajiriwa vilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…