Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania


Kwani jiwe au yule aliyekuwa waziri wa elimu kiingereza walikijua?

Vipi wewe kiingereza unakijua?

Wanafunzi Law School ni muhimu wakatambua uwepo kwa wajuaji na wajinga kama wewe wakajisimamia wenyewe.

Inafauhamika mafanikio yao ni mwiba mchungu sana kwa wenye roho za kimaskini kama ninyi.
 
Ukitazama kwa upande mwingine; matokeo hayo pua yanaakisi kwa usahihi na ukubwa hali ya ubora/ubovu na mfumo wa elimu yetu kwa sasa.

Yaani elimu yetu ni mbovu au dhaifu kiasi gani.

Narudia tena tunatakiwa kuanzia kwenye Katiba Mpya.

Mtu yeyote asikudanganye; Katiba ni muhimu mno. Inagusa KILA KITU, aidha moja kwa moja au indirectly. Sasa lazima tuanzie hapo.

Sote tunafahamu vema, na wengine kuathitika na "tabia/utamaduni" wa kila awamu na mara nyingine hata kila Waziri wa Elimu kuja na "lwake". Hilo tutalikomesha kwenye Katiba Mpya, na tutaliwekea utaratibu mzuri kule.

Majuzi tu hapo, kwenye Awamu ya Tano, hayati Magufuli na Bi. Ndalichako nao walikuja na "lwao".

Ndio hayo sasa matokeo yake. Au hamtaki??
 
Kuna muda mwanafunzi anapofeli na mwalimu naye anapaswa ajitathimini kiukweli kwenye ufundishaji wake kama kweli anaeleweka
Wanafunzi wa sikuizi hata mwalimu afanyejeee hamna kituuu. Unafundishaa mwanafunzi huku Yuko anachati na na kuangalia picha za x. Dhalau Kwa WALIMU kibao, kibuli ndo usisemeee, mwanafunzi anaingia darasani na huku KICHWANI amebugia k vant za kutoshaaa. Kwa maaadili ya wanafunzi Kwa Sasa ni ngumu saana kumfaulishaaaa.
 
Kwa manenoo yako mabovu kama haya mfano uwemwanafunzi utafaulujee. Hovyo kabisaa
 
Kwa manenoo yako mabovu kama haya mfano uwemwanafunzi utafaulujee. Hovyo kabisaa

Kwa maneno kama yako ni wazi kuwa uko kwenye ule umati wa watu wa hovyo kabisa. Mmejawa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza. Hamna mchango wowote kwa taifa hili.

Bure kabisa!
 

Kwanini wanasheria tu wanaokuwa maboya? Kwa Nini si waalimu, madaktari, wahandisi, wafamasia, manesi nk?

Vipi kuwa na mawazo finyu nq mgando kama hivi ndugu?

Au kwako vyuo vinafunza wanasheria tu.

Kazi kweli kweli.
 
Unaongea usichokijua.
Kwa taarifa yako vyuo vingi hasahasa vilivyopo Dar Es Salaam wanamlipa mtu kabisa aandike research, Sasa watu kama hao unategemea law school atatusua?

Kwa nini unayeandika usichojua usiwe wewe? Hawa hapa ni wasomi nguli kwenye field hiyo:

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Wewe unatoka povu hilo ukitokea kijiwe kipi cha boda boda ndugu?
 
Kwa nini unayeandika usichojua usiwe wewe? Hawa hapa ni wasomi nguli kwenye field hiyo:

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Wewe unatoka povu hilo ukitokea kijiwe kipi cha boda boda ndugu?
Siandiki povu NAANDIKA nachokiona vyuoni Kwa wanaosoma sheria kwa Sasa, na Kuna mmoja tayari kashaandikiwa research proposal Kwa sh. 50000/= bado research report yenyewe, na wapo wengi tu wapo tayari kutoa Hadi 120-240K.....Sasa sijajua wanajifunza nini huko chuoni.
 

Wanafunzi wa chuo kipi ndugu? Mbona vipo vyuo vingi na wanafunzi wabafanya vyema tu?

Hata hivyo inafahamika moo watanzania wengi mnaodhani chuo mi law school peke yake.

Kazi ipo!
 
Viko vyuo vingi ndugu. Vipo hata vyuo vikuu vingi tu vinavyofundisha sheria. Kote huko wasomi nguli wenye CV zao wanatofautiana na wewe:

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kwani wewe nani mjomba kutushawishi vinginevyo kutokea kwenye fake ID bila hata ka CV tuutambue umahiri wako ndugu?

Huoni kuwa unachobwabwaja ni ujinga mtupu?
 

Ubovu wa elimu unaenda kuonekana Law School tu? Si kwingine na tunaona ni sawa?
 
Sawa kama ni ujinga mtupu ila uhalisia unaonekana kwenye matokeo ya lawschool, mi naongea nachokiona sio nachosimulia, uzuri wake nimepitia chuo kikuu kimoja kikubwa hapa so najua nachokiandika
 

Attachments

  • 20230425_212350.jpg
    60.6 KB · Views: 3
Huyu mtoa mada hajui chochote Hali ni mbaya mavyuoni, watu wanatulipa hela tuwaandikie research unaexpect ataperform lawschool?
 
Fresh from universite hapa ndo tatizo.. law school ni practical school ya ulichosoma under graduate so hpo ndo Kazi ilipo.. pambanen mtoboe sio kila siku mnalalamika.. kati ya hao 23 ni mmoja tu ambaye amefanya first sitting na katoboa
 
Fresh from universite hapa ndo tatizo.. law school ni practical school ya ulichosoma under graduate so hpo ndo Kazi ilipo.. pambanen mtoboe sio kila siku mnalalamika.. kati ya hao 23 ni mmoja tu ambaye amefanya first sitting na katoboa

Mwingine alisema tatizo ni kuwa wengi ni kutoka kazini ali mradi kila mwenye roho ya korosho angependa wanafunzi wafeli.

Kwani law school ndiyo chuo peke duniani chenye kupima ubora wa wanafunzi?

Kwa nini law school tu? Mbona wengine wanaona vingine?

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kulikoni wewe kutaka kutulazimisha maoni yako?
 
Umeandika Content nzuri ila hpo kwenye vipanga ndo sijaelewa... Vipanga ai vilazaaa.....
 
H
Haijalishi yuko inservice or fresh from school,.. nyinyi msifocus kuwalaumu hao walimu pekee ninyi Hamna madhaifu... Wanafunzi zaidi ya 400 wana supp means wananafasi ya kutoboa mitihan ijayo so Hali ya ufaulu kupanda... Nina Mwana mmoja bimeskul naye alikuwa mvivu Vivu hta kusoma nikasikia kaenda law baadaye law school Leo nazungumzia mwaka wa 8 anastruggle kutoboa supp hapo law school...

So msitake kubebesha lawama Kwa walimu tu.. ninyi ndo mnamapungufu mengi sana
 
Sio ajabu hao wanafunzi kufeli law school, kuna wimbi kubwa la wanafunzi wanaomaliza vyuo siku za karibuni wakiwa vilaza sana hadi unashindwa kuelewa walimalizaje degree na kufaulu hata kwa pass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…