Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukute dereva kalala.amelewa zake
Wazazi tubadilike
Mvua imenyesha usiku kucha...unatoa mtoto asbh aende wapi???
Kuna vitu vinaweza kuepukika
Tatizo tuu maskini hapo tunajikwamua angalau mtoto asichelewe masomoUnampakizaje mtoto wako kwenye hizo takataka..
Wazazi nao hawajifikirii kweli!? Na mvua hizi bado unaruhusu mwanao aende shule? Siku yenyewe moja tu halafu weekend mimi nisingemruhusu angesubiria jtatu na penyewe ingetegemea na hali ya hewa
Duu siasa kwenye kila jambo !Mkuu wa Mkoa mwenye gundu kapelekwa.
Damu za Watu wasiokua na hatia.