Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

Vyombo vya usalama barabarani viko kwenye kazi muhimu, kumbuka Rais ameingia jana Arusha

JamiiForums ilipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Justine Masejo, alisema
“Nipo kwenye msafara..."
 
School bus za siku hizi nvi noah na haice zilizo choka..kama icho kime pelelekwa na maji chapu tu
 
Wacha ujinga

Sijasema shule zifungwe...kwani siku zote mvua hazinyeshi???

Kuna zile siku mvua imenyesha usiku kucha kama leo..barabara hazipitiki, unatoa mtoto asbh aende wapi??
Hoja yako haina mashiko, masika mvua Inanyesha muda wowote
 
Hoja yako haina mashiko, masika mvua Inanyesha muda wowote
Mkuu kwa mvua ya usiku wa leo jamaa ana hoja...wapo watu hawatoi watoto mvua ikiwa kwa kiwango hiki wanasema labda ampeleke yeye shule kwa usafiri wake wengi tu na wengine wanatoa taarifa mvua ikiwa inanyesha nyingi apigiwe simu amfate yeye mwanae shuleni mbona kawaida hiyo mkuu au...
 
Huko nchi za watu kuna ajali pia. Upo sahihi kwenye maboresho ili kuzipunguza.
Nchi za watu bus za watoto hazina kodi wanatumia bus nzuri sana unaweza kukuta Hiace Quantum linachukua wanafunzi huku wanafunzi tunataka wapande kitu chochote harafu ajali zipungue sio kweli..
 
Reactions: Tsh
Ilipaswa kusitisha shughuli zote mkoani Arusha na kuelekeza nguvu kwenye uokozi na matibabu
 
Wazazi nao hawajifikirii kweli!? Na mvua hizi bado unaruhusu mwanao aende shule? Siku yenyewe moja tu halafu weekend mimi nisingemruhusu angesubiria jtatu na penyewe ingetegemea na hali ya hewa
Mvua za masika zikinyesha miezi mitatu, atakaa nyumbani tu.
Vipi hapo nyumbani akiangukiwa na ukuta wa nyumba?
Gesi ikiripuka nyumba ikashika moto? You can't cheat
 
Watoto wa mdogo wangu nao wan
Watoto wa mdogo wangu wawili wanasoma hiyo shule Mungu mkubwa leo aliwazuia wasiende shule kutokana na hali ya hewa, Rest in peace little Angels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…