Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.

Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Hapa ndo tunaona umuhimu wa Morogoro Muslim University kudahili watu wake
 
Uko sahihi huu ni mtazami wako(personal opinion), na hakuna mtu atapongana na wewe tatizo ni pale muislamu amlazimishe mtu asiye muiislamu kutaka mtazamo wake ukubakiwe na ufuatwe na waislamu wote
Siwezi lazimisha kwa sababu mimi sio mwislamu wala sio mkristo na hata ningekua mmoja wapo wa hao pia nisingefanya hivyo.
 
Usahihi ni kuwa kama unaenda kusoma kny taasisi ya kikristo uwe na uhakika kuwa utaendana na miiko na taratibu zao, vivyo hivyo kama mkristo ataamua kusoma taasisi za Kiislam lazima awe na uhakika kuwa ataendana na taratibu na miiko ya Kiislam.
 
Hapana mkuu kuna vitu ambavyo ni basic mtu ambaye ni mkristo au uliye kulia kwenye ukristo unavijua
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Kama chuo kimesajiliwa na Wuzara au mamlaka husika hakiruhusiwi kuendeshwa kidini tena. Labda uniambie kimekuwa senior seminary
 
Tatizo huko Mbulu ni kambi ya wakristo. Ninadhani ni wilaya mojawapo iliyosheheni wakristo wa kutosha. Mimi napenda jinsi wanawake wa kiislamu wanavyovaa ila huko waliko ni kwa wakristo watupu wafuate sheria za huko vinginevyo wahamie vyuo visivyo na hizo sheria. Hata wakristo wakiwa pemba huwa makini sana na mambo yao.
 
Bado wanalisujudia sanamu hilo ,lile sanamu limefanya mpaka Rais wa Italy agome kukataza Hijab maana linamsuta .
Ni kweli wanalisujudia sanamu,
.Wewe kinakuuma nini?
Unataka watu wote waishi utakavyo?
Wakati nyie mkipambania kuvaa mivazo mnayoiita ya stara,wenzenu wanapambana kuongeza wigo wa taasisi za huduma ya jamii nchi nzima.
Kwa sasa kila ilipo parokia yeyote nchini,nasema parokia,lazima kuwe na either shule,chuo au hospitali.Ifikapo mwaka 2035 Kanisa Katoliki litakuwa na idadi sawa za taasisi za elimu na serikali kwa sababu strategically huo ndio mpango.Kuwa na chuo Kikuu kila Mkoa na kuitawala sekta ya elimu nchini.Mkiwa bado mnapiga mazoezi ya judo misikitini wenzenu wanafikiria kuwa na academic excellence na kuamua kila kitu kwenye kila sekta ya nchi.
Usimwamshe aliyelala!
 
Kwa sbb asili yake ni chuki, ulipaji visasi, na kuua watu
Hawa wadau likifika jambo la dini yao huwa wanatumia sana hisia kuliko reasoning.
Wanakuwa kama wamekatwa vichwa ghafla.
Ukisoma taqwa, thaqafa au shulr yeyote ya kiislamu lazima uvae hijabu.
Ukisoma shule za kanisa catholic lazima uende kanisa iwe holy familiy sijui loleto sasa wao wataka kuweka sheria zao kwenye chuo kilicho jengwa kwa sadaka za hao wanaowaita makafiri ili wakasome makafiri
 
Funikeni vichwa kwenye taasisi zenu.Kwa nini kuwapangia wakatoliki?Tumieni akili
 
Wakristo na waislamu wote wanajifanya washika dini, lakini katika huko kujifanya waislamu wapo bora zaidi hasa katika mavazi ya kike na kulinda haiba ya kike kwa stara ,mbona ipo wazi hiyo kama ya mbuzi mkuu?
Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu

Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha, mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu

Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri

Sasa mwanamke akionesha kapaja tu kidume cha kiislamu kadude kake kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala.
 
Kuvaa stara ndio ni nini? Kupi sio kuvaa stara?
 
Hawa wadau hawawezi kufocus na dini yao japo ina matatizo mengi ambayo madhehebu yao yameshindwa kukubaliana
 
Inaonekana unapenda sana kufukuliwa mtaro.Anyway turudi kwenye mada.Kama watoto wa Kiislam hawawezi kufuata masharti ya vyuo vya wakatoliki watafute vyuo vya Kiislam.Uzuri wakristu hawaendagi kwenye taasisi zenu
 
Halafu mtaani wanaoongoza kuvaa madera na vijora wakiyachomekea kwenye chupi ni wanawake wa Kiislam.Wanaoongoza kukatika kwenye vigodoro ni wanawake wa Kiislam,wanaoongoza kutoa 0713 ni wanawake wa kiislam.Lakini hayo hayakemei anafuatilia kuwachokonoa wa imani isiyo yake.Temeke,Kinondoni,Mbagala yote na Ilala wamejaa wanawake wa Kiislam na wanaongoza kwa uchafu ambao anaufumbia macho
 
Utakufa na sonona ndugu yangu fuatilia uwahubirie wenzie akina Amber Rutty waache dhambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…