christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kwani hili ni hijab au ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Sidhani kama kuna uhusiano wa dini na tamaduni za mavazi.Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake πππwala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijabπ π π
View attachment 2919690
Mama Mariya,amependexIkitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake πππwala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijabπ π π
View attachment 2919690
Stara ni alivyokuwa akivyaa mama Mariya,angalia picha zake.Mama Mariya,ndio mama wa Yesu.Waislamu huwa wanafuata Injili kwa vitendo,sio kusoma maandiko tu.Stara ndo nini?
Nimekuambia ukristo sio sawa na uislamu ndugu.π π π Umepanic dogo basi kufunika kichwa kweny ukristo ni amri seme hamtaki π .
Hili andiko linatoka wapi tena ni agano jipya ππ
1 Wakorintho 11:5
"Lakini kila mwanamke anayeomba au kuhubiri bila kufunika kichwa chake, anamdharau yeye mwenyewe, kwa maana ni sawa na kufinyilia nywele zake."
Mambo mengi mnaenda against Bible imekataza ushoga ,ile nyie mnaruhusu ,je mnafuata kitabu gani?
Waislamu wanamfuata Yesu kivitendo,sio kwa maneno tu.Mama Mariya,ni mama wa Yesu,ni katika uislamu,huyu mama anahesabika ni mwanamke bora,kuliko wanawake wote,kwa kufuata alivyokuwa akivyaa,ni kumfuata mwanamke bora.basi wakasomee kanisani basi
Wataka na mimi nikuletee ya dhehebu ;ako linalosisitiza kuua kwa kuchinja wasio wa imani yako?Kasome hapa labda dhehebu lenu π π kujistiri ni lazima
View: https://youtu.be/notvo-s6QC4?si=cEbK_q7jo-xhoxc9
Ulishawahi kukuta wapi sisiter anahubili kanisani!?Yaani huu ujinga hauingii akilini kabisa π π ...Wanyolewe nywele halafu waambiwe wafunike nywele zao ?
Ukweli ni kwamba ni lazima kufunika nywele wanaohubiri ndio maana masisters wanafunika nywele zao , pale kanisani kwa sababu hata mitindo ya nywele ya kuremba haitakiwi..
Taratibu ya kusali bila ya kufunika kichwa kwa wanawake ni taratibu za kipagani ,tena kinyume cha taratibu za kanisa ...Kunyoa nywele sio tatizo katika ukristo ishu ni kuacha kichwa wazi .
Hayo maneno hapo hayana collocation kabisa kwa vile utaratibu wa kanisa ni kufunika kichwa ili kuficha nywele sio kipara kama unavyojidanganya ,au upewe maelzo ya mchungaji wako ndio utaamini ?
Kanisa halitambua hata wanawake kweny kuwa viongozi hata uende Vatican hakuna wakubwa ambao ni wanawake .
Hizo picha za Mariamu mwenye kasura ka upole na gauni refu ndio ilivyokuwa miaka hiyo 2,000 iliyopita?Mama Mariya,amependex
Stara ni alivyokuwa akivyaa mama Mariya,angalia picha zake.Mama Mariya,ndio mama wa Yesu.Waislamu huwa wanafuata Injili kwa vitendo,sio kusoma maandiko tu.
Wamelazimishwa kwenda kusoma hapo? BAKWATA wana vyuo kwa nini wasiende kusoma huko?Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Kwahiyo , unaweza kwenda Mecca kuhiji na pedo na jumper na mgongo upo wazi kwakuwa ni tassisi ya kidni haipaswi kubagua?Kwenye Mambo mengi sana ya kijamii,taifa kwa ujumla hatujui dini inaanza wapi na mwisho wa mipaka yake ni ipi...
Sina ujuzi wa hili suala, taasisi za kidini zinapewa misamaha ya Kodi na serikali kwasababu wanatoa huduma za kijamii..Elimu ni huduma mojawapo.tofauti yao na biashara nyingine za kawaida ni ndogo,biashara zinalipa Kodi ili serikali zikatoe hizo huduma kwa wananchi wake bila ubaguzi... Ndio maana mfanyabiashara ana privilege ya kutokumuuzia bidhaa au kutomuhudumia mtu yeyote tule
Sasa taasisi hizo hizo za kidini zinapokuja kujiwekea Sheria ambazo zina'bagua' watu na wanaweza wasipewe hizo 'huduma' automatically wamejitangaza kama biashara.. wapigwe Kodi tujue moja... Na hii naiona kwa wakristo na waislamu vile vile..
Ona sasa ulivyo mjinga, kanisa catholic Tanzania wana tamaduni zao ukitaka hiyo demokrasia nenda kanisa catholic Marekani huko nao wana demokrasia yao.Kweny biblia hakuna kufunika kichwa?una uhakika?
Wale ma'sisters kufunika kichwa dunia nzima ile sheria wametoa wapi?
Biblia huijui wala ukristo wako unafuta wazungu ,iyo demokrasia ni full of bias ,unampa mtu uhuru wa kuvaa ila hijab hutakiπ π
Wanajifanya washika torati, wawa-kemee kina Diamond, Zuchu anavaa chupi na msikitini anaingia na ndio kioo cha watoto wa kike wa kiislamu.Umepigilia msumari penye kidonda
Ndege kama Qatar Airways ni ya nchi ya kiislamu lakini wahudumu wake huvaa vimini vinavyobana matako na nyuso wazi .
Waislamu hasa wanaume wa Tanzania shida akiona kasikio tu kako wazi ka mwanamke dude lake katikati ya mapaja linainuka
Hakuna chuki. Mbona pale MUM hamruhusu Wakristu wavae wanavyotaka?Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
Bila kufuata Yesu kivitendo,hujamfuata.Waislamu wanamfuata Yesu kivitendo,kupitia Injili,uislamu,unaamini Injili ni kitabu kitakatifu,kutoka kwa Mungu.Hata mavazi aliyokuwa akivyaa Yesu,kanzu,kilemba,ndevu,makubadhi,ni mavazi waislsmu wanavyaa.Ukisema mavazi mavazi ya mama Mariya,utamaduni wa Wayahud,ulimuona mwanamke gani wa kiyahud,anavyaa kama mama Mariya.Na pia mbona masister,wanavyaa nguo ndefu na kufunika kichwa,kama utamaduni wa kiyahudi,wakati huyo sister ni mwafrikaNimekuambia ukristo sio sawa na uislamu ndugu.
Yesu alitahiliwa siku ya nane lakini huwezi kuta kanisa linasisitiza kutahili hizo ni tamaduni za wayahudi na sio kila kilichopo kwenye bible ni kinalenga watu wote zingine kuna mambo yanahusu tamaduni husika kuvaa, chakula nk, Yesu alifunga kula lakini huwezi kuta kanisa catholic linasisitiza kufunga kula bali kuacha matendo maovu
Tofauti ya ukristo na uislamu wakristo tunaamini tumeombolewa kwa neema na kufika mbinguni ni kwa neema na kupotia yesu kristo ninyi manaamini kufika mbinguni ni kwa jitihada zenu kufuata sheria, kufunga nk.
Saudia ni non-secular country..Dini ndio mwanzo na mwisho wa Kila aspect ya maisha ya kule..Kwahiyo , unaweza kwenda Mecca kuhiji na pedo na jumper na mgngo upo wazi kwakuwa ni tassisi ya kidni haipaswi kubagua?
Unaweza kwenda msikiti na ukaingia na viatu kwakuwa hawaruhusiwi kubagua?
Tofautisha uislamu,na muislamu.Uislamu unataka wavyae hivyo,kama mtu having ni yeye mwenyewe.Ni sawa mtu awe chama fulani cha siasa,na kila chama kina sare zake za kuvyaa,lakini wapo wanachama hawavai hizo sare.Umepigilia msumari penye kidonda
Ndege kama Qatar Airways ni ya nchi ya kiislamu lakini wahudumu wake huvaa vimini vinavyobana matako na nyuso wazi .
Waislamu hasa wanaume wa Tanzania shida akiona kasikio tu kako wazi ka mwanamke dude lake katikati ya mapaja linainuka
Ukiwa m-dini sana unakuwa kipofu.Saudia ni non-secular country..Dini ndio mwanzo na mwisho wa Kila aspect ya maisha ya kule..
inasikitisha kuona mkongwe kama ww,hata hiyo distinction huioni.
Ukinionyesha sehemu Yesu anasema tuvae kama yeye nitavaa.Bila kufuata Yesu kivitendo,hujamfuata.Waislamu wanamfuata Yesu kivitendo,kupitia Injili,uislamu,unaamini Injili ni kitabu kitakatifu,kutoka kwa Mungu.Hata mavazi aliyokuwa akivyaa Yesu,kanzu,kilemba,ndevu,makubadhi,ni mavazi waislsmu wanavyaa.Ukisema mavazi mavazi ya mama Mariya,utamaduni wa Wayahud,ulimuona mwanamke gani wa kiyahud,anavyaa kama mama Mariya.Na pia mbona masister,wanavyaa nguo ndefu na kufunika kichwa,kama utamaduni wa kiyahudi,wakati huyo sister ni mwafrika
kinasajili wanafunzi wote ila sio ufike hapo uanze kuvaa tofauti na dressing code yaoHicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?
Sasa kama uislamu unataka avae hivyo, akasome chuo cha uislamu, huku kwa MAKAFIRI mnatafuta nini?Tofautisha uislamu,na muislamu.Uislamu unataka wavyae hivyo,kama mtu having ni yeye mwenyewe.Ni sawa mtu awe chama fulani cha siasa,na kila chama kina sare zake za kuvyaa,lakini wapo wanachama hawavai hizo sare.