Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kazi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umechagua kutembea makwapa wazi na mapaja wacha watu wafiche nyuchi zao kwa raha yaoKuvaa stara ndio maana yake nini? Kujifunika mashuka mchana jua kimewaka?
Kwamba ambao hawajifuniki mashuka wao wanatembea uchi?
Hizi dini zimepumbaza sana watu.
We jamaa kama siyo padri ni mchungaji.Ukinionyesha sehemu Yesu anasema tuvae kama yeye nitavaa.
Ukinionyesha sehemu Yesu anasema tuvaa kama mama yake nitavaa.
Tofauti na hivo ni taratibu watu walizo kubaliana na sio maagizo kutoka kwa Mungu(revelation).
Masisiter wanavaa kwa sababu ni vazi rasmi lililowekwa na kanisa kama vaazi la kiheshima kwao lakini halina cha kufanya na roho zao kwenda au kutokwenda mbinguni.
Na issa mbona sio Yesu lakini waislamu mnalazimisha issa aonekane Yesu!?
Yesu ni mtoto wa Mungu aliye kuja kuukomboa ulimwengu nyie mnaamini hilo!?
Ukristo unaamini katika kile kilichoko ndani ya moyo wa mtu Yesu anasema lalueni mioyo yenu na si mavazi yenu.
Mambo ya mavazi na chakula na lugha inabaki kwa kile utamaduni wetu unacho kiona ni sahihi.
Ulaya mtu ataingia na miniskirt, south mtu ataingia na miniskirt.
Bongo utavaa skirt inayovuka magoti huo ndio walaka wa tec
Mimi siamin Mungu na wala sina dini , ila ukikaa pembeni ukauchunguza ukristo na uislamu japo wote ni matapeli tu ila uislamu una mambo mengi mazuri yakuufuata kuliko ukristo.Mwanamke wa kiislamu kujistiri inasaidia nini.hasa? Nenda maeneo wanavaa hivyo maeneo ya mikoa ya Pwani kuanzia Tanga hadi mtwara malaya hatari
Pili unakuta Mwanamke wa kiislamu anajistiri lakini mwanaume wa kiislamu dude nje nje linaparamia wanawake wa nje kuanzia waislamu ,wakristo na makafiri Dude lake halina dini
Tunaishi na nyie mitaani mtatudanganya nini? Wote shida tu na hijabu zenu na kanzu zenu
Lakini waisilamu huko wanafuata nini? Basi kama watenda kusoma huko wafuate mashariti yao hata wakivaa wanasoma wakitegemea kuajiriwa je wakiajiriwa watavaa hizo nguo au wata vaa yunufomu?Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
🤣🤣🤣 kweli umekasirika , kwa nini umechukia mkuu? Vuta pumzi ndani then achia taratibu tuendelee na mjadala sawa master🤗Hata mimi sijaongea vibaya nimekuambia mwambie mama yako avae hivo umpe hiyo heshima ya mwanamke.
Na wanaeake wa kiislamu wanaongoza kutoa nyuma waige na hiyo
NdiyoHicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?
Nijuavyo unapo ajiriwa unaelezwa mashariti kwenye mkataba wakazi yakiwemo mavazi utakayo vaa ukisha kubali lazima uvae kama mkataba wako wa ajira unavyo semaNdio Tanzania hii kuna hospital pia hazitaki mtu kuvaa stara
Uko sahihi huu ni mtazami wako(personal opinion), na hakuna mtu atapongana na wewe tatizo ni pale muislamu amlazimishe mtu asiye muiislamu kutaka mtazamo wake ukubakiwe na ufuatwe na waislamu woteMimi siamin Mungu na wala sina dini , ila ukikaa pembeni ukauchunguza ukristo na uislamu japo wote ni matapeli tu ila uislamu una mambo mengi mazuri yakuufuata kuliko ukristo.
Narudia tena wanawake wa kiislamu wana stara na haiba ya kuitwa wanawake halisi kuliko wa dini zote zaidi ya 1000 duniani kote kama umekasirika mkuu tambua neno langu sio sheria ni mtazamo wangu tu.🙏
Laana maanake nini?Wala haichekeshi
Si muwashauri wakasome kwenye vyuo vyenu vya kiislqm vya afya,au hamna vyuo hivyo?
Mna madrasat tu [emoji1787][emoji1787]watoto wa mudy mna laana.
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Mkuu sina tatizo na mtazamo wako provided haujalazimisha nikubaliane nao.🤣🤣🤣 kweli umekasirika , kwa nini umechukia mkuu? Vuta pumzi ndani then achia taratibu tuendelee na mjadala sawa master🤗
Wakristo na waislamu wote wanajifanya washika dini, lakini katika huko kujifanya waislamu wapo bora zaidi hasa katika mavazi ya kike na kulinda haiba ya kike kwa stara ,mbona ipo wazi hiyo kama ya mbuzi mkuu?Wanajifanya washika torati, wawakemme kina Diamond, Zuchu anavaa chupi na msikitini anaingia na ndio kioo cha watoto wa kike wa kiislamu.
Wamkee Wema Sepetu na akina amber Rutty.
Sehemu hata shule na vyuo kuna taratibu zake zinazotakiwa kuzingatiwa mtu akiona hiki chuo hakiandani na imani sio kesi afunge virago aende huko anakoona kunaendana na imani yakeNijuavyo unapo ajiriwa unaelezwa mashariti kwenye mkataba wakazi yakiwemo mavazi utakayo vaa ukisha kubali lazima uvae kama mkataba wako wa ajira unavyo sema
Kamooon sasa hayo ndio maneno 👍Mkuu sina tatizo na mtazamo wako provided haujalazimisha nikubaliane nao.
Binafsi mimi naweza kusema napenda mwanamke mweupe, mweusi, mnene, mwembamba ni mtazamo wangu tu.
Tatizo nikutaka na wewe upende nichopenda based on mtazamo wangu tu
Wewe ulipo hopo unachuo?kinaitwaje inajivunia mali za watu hicho chuo kinafanya biashara bhana ndio maana kinaruhusu kila mtu mwenye hela kusoma hapo wewe na huo ukirito wako kama huna hela uwezi soma hapo hata uwe umevaa sanamu shingoni mwako la mungu wako yesu chuo kitamsajiri mwenye hela tu hata awe muisilamu [emoji12][emoji12][emoji12]Kasomeni kwenye vyuo vyenu binavyoruhusu hayo mavazi[emoji108]
Au hata hivyo vyuo hamna?[emoji1787][emoji1787]
Mnajua kujenga madrasat tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inashangaza sana aisee!Mtu anakuja kwako, anakuta utamaduni wa kula mbuzi katoliki kwa miaka zaidi ya 20 , yeye anataka hata saani ulete mpya na usipike mbuzi katoliki? si aende kwa nduguze?
The same hawa wakimbizi wa palestina na waarabu wengine wanakimbilia ulaya na marekani alafu wanataka sheria za kiislamu zifuatwe kwa wazungu?
Sehemu hata shule na vyuo kuna taratibu zake zinazotakiwa kuzingatiwa mtu akiona hiki chuo hakiandani na imani sio kesi afunge virago aende huko anakoona kunaendana na imani yake
Mi mwenyewe nawashangaa kwanini wameenda hapo mbona vyuo vipo vingi au hawakujua hiyo ishu ya ushogahuoni kama wewe ndio mjinga kulazimisha dada zenu wakasome chuo cha mashoga?