ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Fanya research,hamkuwa na official Quran,kila jamii,nchi za kiarabu walikua na copy zao ambazo hazifanani. So Al Azhar university kwa amri ya mfalme wa misri waka standardise Quran na pia ikatoka amri Quran nyingine zote ziharibiwe kwa eidha kuchomwa moto au kuzizamisha mto Nile.Ili kuwepo ipi
Fanya research bila kutumia jicho la kidini ili ujue Historia halisi tofauti na ile wanayofundisha madrassa au chuo. Ukihitaji links kama English inapanda ntakutumia🍹.Hii Quran ya (Hafs) ya mwaka 1924 ilipitishwa kuwa Quran rasmi na Saudi Arabia mwaka 1986,ila haitambuliki Tunisia, Morocco na Libya maana wao wana version ya kwao ambayo ipo na tofauti kiasi .