Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Ili kuwepo ipi
Fanya research,hamkuwa na official Quran,kila jamii,nchi za kiarabu walikua na copy zao ambazo hazifanani. So Al Azhar university kwa amri ya mfalme wa misri waka standardise Quran na pia ikatoka amri Quran nyingine zote ziharibiwe kwa eidha kuchomwa moto au kuzizamisha mto Nile.

Fanya research bila kutumia jicho la kidini ili ujue Historia halisi tofauti na ile wanayofundisha madrassa au chuo. Ukihitaji links kama English inapanda ntakutumia🍹.Hii Quran ya (Hafs) ya mwaka 1924 ilipitishwa kuwa Quran rasmi na Saudi Arabia mwaka 1986,ila haitambuliki Tunisia, Morocco na Libya maana wao wana version ya kwao ambayo ipo na tofauti kiasi .
 
Sifanyi research kwa kitu ninacho kijuwa Qur an toka imeshushwa haija wahibadirishwa kamwe na haito tokea. Japo wanajaribu sana
 
😅😅 Imeshushwa wapi? Mohamed hakuwahi andika kitabu,zile Quran tano za kwanza ziko wapi? Ambazo zilitumwa Syria, Baghdad nk,pia Hadith zimekuja kuandikwa miaka 200 baada ya Mohamed. Bahati mbaya ukisoma baadhi mistari kwenye Quran inatakiwa ukatafute ufafanuzi kwenye Hadith na tafsir za watu ambao hawakuwahi kuonana na Mohamed.

Unajua kwamba Bukhari hakuwahi fika Mecca wala Saudi Arabia? Alikua mtu kutoka Uzbekistan km 1200 toka Mecca,ndiye aliyepewa kazi ya kuhakiki hadith miaka 200 baada ya Mohamed 😓😓. Leo hii ukikamatwa na hii Quran (Hafs) version katika nchi za Morocco, Tunisia au Libya jela inakuhusu au hata kuuawa na waumini. Hawakukubali hata kidogo,uliyofumdishwa kwamba Quran haijawahi badilika sio kweli. Kuna version za Quran kama 27 hivi na zina tofauti kibao .

Zile Quran za kale ambazo zimo London, Yemen, Istanbul hazifanani na wala pia zina tofauti za kutosha na hizi za sasa .
 
Unataka kusema haijashushwa na Allah subhannah watallah?
 
Muhammad hakuwahi andika kitu kwanza alikuwa hajuwi kusoma Wala kuandika.
 
Mohamed anasema alikutana na Jibril,lakini Jibril hakujitambulisha kwa Mohamed kwamba anaitwa nani. Ndugu yake Mohamed (Waraqa) baada ya kuona Mohamed amepania kutokana na experience yake kule pangoni akasema huyo atakua ni malaika Jibril,toka hapo yule kiumbe akawa Jibril. Jibril anasema katumiwa na Allah, Mohamed kapokea toka kwa Jibril ambaye hakuwa na jina mpaka alipopewa na ndugu yake Mohamed ambaye ni mkristo.

Maswali tengeneza mwenyewe hapo,mara zote malaika hujitambulisha kwa majina yao wanapo watokea watu kwa mara ya kwanza. Hata Mariam mama yeke Issa ile spirit iliyomtokea ilijitambulisha kwamba imetoka wapi na imekuja kufanya nini,hata kwenye Bible ni hivyo hivyo .
 
😅😅 Imeshushwa wapi? Mohamed hakuwahi andika kitabu,zile Quran tano za kwanza ziko wapi? Ambazo zilitumwa Syria, Baghdad nk,pia Hadith zimekuja kuandikwa miaka 200 baada ya Mohamed. Bahati mbaya ukisoma baadhi mistari kwenye Quran inatakiwa ukatafute ufafanuzi kwenye Hadith na tafsir za watu ambao hawakuwahi kuonana na Mohamed.

Unajua kwamba Bukhari hakuwahi fika Mecca wala Saudi Arabia? Alikua mtu kutoka Uzbekistan km 1200 toka Mecca,ndiye aliyepewa kazi ya kuhakiki hadith miaka 200 baada ya Mohamed 😓😓. Leo hii ukikamatwa na hii Quran (Hafs) version katika nchi za Morocco, Tunisia au Libya jela inakuhusu au hata kuuawa na waumini. Hawakukubali hata kidogo,uliyofumdishwa kwamba Quran haijawahi badilika sio kweli. Kuna version za Quran kama 27 hivi na zina tofauti kibao .

Zile Quran za kale ambazo zimo London, Yemen, Istanbul hazifanani na wala pia zina tofauti za kutosha na hizi za sasa .
Zipo Qur an ambazo watu wanaandika ili kubadirisha ili iliyotoka mbinguni labda ndio unazungumzia hizo lakini Quran yenyewe haijawahi badirika,
Ipo Qur an hadi ya nyerere so kitu Kama hujuwi uliza
 
Mohamed anasema alikutana na Jibril,lakini Jibril hakujitambulisha kwa Mohamed kwamba anaitwa nani. Ndugu yake Mohamed (Waraqa) baada ya kuona Mohamed amepania kutokana na experience yake kule pangoni akasema huyo atakua ni malaika Jibril,toka hapo yule kiumbe akawa Jibril. Jibril anasema katumiwa na Allah, Mohamed kapokea toka kwa Jibril ambaye hakuwa na jina mpaka alipopewa na ndugu yake Mohamed ambaye ni
Mtume baada ya kutoka pangoni alienda kwa mkewe bi Khadija na hana ndugu mkristo
 
Muhammad hakuwahi andika kitu kwanza alikuwa hajuwi kusoma Wala kuandika.
Issue siyo yeye kuandika,walio andika Quran baada ya kifo chake walikua na migogoro kibao . Ndiyo maana kuna versions tofauti za Quran na siyo moja , waislam hamtakiwi kuhoji ili kujua history halisi. Hii narrative kwamba Quran iko sawa neno kwa neno toka kipindi cha Mohamed ni mpya na imezaliwa ndani ya hii miaka 50 iliyopita. Haikuwepo toka zamani kwa sababu hakukuwa na standardised Quran .
 
Zipo Qur an ambazo watu wanaandika ili kubadirisha ili iliyotoka mbinguni labda ndio unazungumzia hizo lakini Quran yenyewe haijawahi badirika,
Ipo Qur an hadi ya nyerere so kitu Kama hujuwi uliza
Quran ya kweli ni ipi? Hafs mnayotumia nyie au warsh inayotumika Tunisia,Morocco na Libya? Hizo 2 zina tofauti 99.
 
Sipingani na utaratibu wa chuo maana hata hao waislamu walijua kabisa wanaenda chuo cha kikristo wanapaswa kufuata sheria. Lakini shemela mfano wako huo umechochora....huwezi kulinganisha kitimoto na hijabu
Shemela wala sijachochora. Huo mfano nimeutoa kuonyesha ambacho hakipo kwenye imani yako, kikifanywa na asiye wa imani yako ndani ya mazingira ya imani yako, hakifai.

By the way, kuheshimu imani ya mtu mingine ni kumuacha mtu afanye yaliyo ya imani yake kwake au kwenye maeneo yake. Kwenda kuyafanya ya kiislamu ndani ya mazingira ya kikristo au ya kikristo ndani ya mazingira ya kiislamu hizo ni fujo na ni kudharau imani za wengine
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Wahame. Mbona rahisi tu na haihitaji kuja huku kulia lia? Vyuo vipo vingi Duniani wakiona hawatendei haki wahame. Tujifunze kuwa na uelewa na maamuzi. Si kila kitu cha kulia lia. Wewe unaona hawataki uvae kwa stara waachie chuo chao kasome wanakoruhusu. Je hapo ulipo umevaa ushungi? Safi sana. By the way unapatikana wapi mrembo? Angalau tufahamiane. Maana sisi wanaume wengine tunapenda nyie mnaovaa ushungi.
 
Hizi kelele zote ni kwakuwa hapo umetajwa uislam
kiufupi mleta mada sio mwislam halfu muislam anae jielewa hawezi mpeleka mtoto wake kwenye shule zenu kwakuwa mnataratibu zenu za kidini. Huu uzi ni kupoteza muda tu na kukashfiana
By the way natamani kwanza kujua huo uislam ni dubwasha gani kiasi kila likitajwa inakuwa mzozo hata mahali pasikalike!

Hapo juu unakumbuka kuona post yangu nikikusifu uko smart wakati mwengine?Shida ya muislam yeyote akishavaa koti la dini hata akili inafutika,ok sawa mleta mada siyo muislam lakini hata wenzako waliionyesha kumuunga mkono unataka kusema siyo waislam?unaweza kuthibitisha hapa waislam hawawapeleki watoto zao shule zisizokuwa za kiislam?
 
By the way natamani kwanza kujua huo uislam ni dubwasha gani kiasi kila likitajwa inakuwa mzozo hata mahali pasikalike!

Hapo juu unakumbuka kuona post yangu nikikusifu uko smart wakati mwengine?Shida ya muislam yeyote akishavaa koti la dini hata akili inafutika,ok sawa mleta mada siyo muislam lakini hata wenzako waliionyesha kumuunga mkono unataka kusema siyo waislam?unaweza kuthibitisha hapa waislam hawawapeleki watoto zao shule zisizokuwa za kiis
Mkuu umenielewa vibaya Mimi sioni haja ya marumbano kiufupi nilikuwa namuelewesha huyo jamaa kwamba kupeleka mtoto shule ambayo sio ya kiislam basi ufate sheria zao mtu anae jielewa hawezi peleka huko halafu akataka kupinga sheria zao.
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Siku ya Graduu
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1709198860454.mp4
    1.3 MB
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Km ni private entity ina haki ya kubagua kwa vitu vingi tu km Waislam wenyewe wana ubaguzi mzuri tu kw private entities zao; either way sioni shida ya kuzuia km watu wazima kuvaa ushungi ili mradi isiwe Burqa
 
Ulisha wahi kukagua ukakosa acha chuki hao ma boyfriend uliwaona nao😒
😀😀😀😀
Tuwekeane hela 1M. Tumtafute alivaa nikabu (ninja) ambaye hajaolewa tukampime kama kama anayo bikra. 😀😀😀
 
Hizi kelele zote ni kwakuwa hapo umetajwa uislam
kiufupi mleta mada sio mwislam halfu muislam anae jielewa hawezi mpeleka mtoto wake kwenye shule zenu kwakuwa mnataratibu zenu za kidini. Huu uzi ni kupoteza muda tu na kukashfiana
Hata kwa kutafuta elimu ama ujuzi?
 
What's your point? Kwa sababu hawana bikra basi watembee uchi?
Ulishawahi kuona mtu anatembea uchi?
Wafuate utaratibu wa chuo unavyosema. Wanalazimisha hijabu kuwa wanajistili wakati ukiwakagua unaweza usikute bikra😀😀😀
 
Back
Top Bottom