KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Waache watoto wetu aisee!Wanavaa tuvazi wanatuita"modo".Na ile miili yao chakula chao kikuu ni maandazi mawilimawili kwa chilisosi.
Ndio wasinenepe unakuta wameingia ndani uchachafyo kama huo hapo sim zinapigwa nyumbani kama mvua
Mzazi ni unafokewa na junior wa sociology hadi utume ada
Akimaliza Sasa😥
 
Tafuteni tuition
 
Mkuu wa chuo chenu si ni ndugu Jakaya Kikwete? Kama hawataki mfanye test achaneni nao, endeleeni na mishe nyingine. Nina uhakika watawatafuta tu. Tuna mambo mengi sana ya kufanya
 
Nyie ndiyo mnasababisha wabunge waseme boom lifutwe. Mnapewa fedha mnatumia kwenye anasa badala ya kufanyia mambo yahusuyo elimu. Hakuna kuonewa huruma, Pambaneni na hali zenu tu
 
Hilo suala sio la kulalamika linajulikana wajipange wataeudia na watu wa sup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…