Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ada ingelipwa ila wangetoa mda kidogo hadi wapokee boom kwani wengi wao wanategemea pesa hiyo ili kulipia ada na mambo mengineMkuu kwa hiyo mlitaka some bure.
Duhhhh miaka hii vyuoni kuna seleka sana lo!
Nyie madogo acheni kulia lia ,lipeni ada .View attachment 2991530Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili.
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Hii inachagizwa na Wanafunzi wengi kuwa na kawaida ya kutumia fedha za kujikimu (Boom) tunazopata kutoka Bodi ya Mkopo kwa ajili ya kulipa ada, pia mpaka sasa wengi wetu hatujapata Boom la pili na hivyo kushindwa kumalizia ada tunayaotakiwa kuilipa.
Changamoto hii imetokea kwenye Vitivo mbalimbali hasa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza na Wapili mbao walilipwa kiasi kidogo.
Wanafunzi tulituma barua ya maombi kwa Mkuu wa Chuo kuomba turuhusiwe kufanya mitihani kwa kuwa malipo ya Bodi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo lakini majibu tuliyopata ni kuwa hilo halitawezekana.
Uongozi wa Chuo umesisitiza Wanafunzi wote wanatakiwa kulipa Ada kwa maelezo kuwa wapo ambao hawategemei Boom kulipa ada ambao hawajapata mkopo na kuwa idadi ya ambao hawajalipa ada ni kubwa, hivyo chuo kina ukwasi.
pole sana vijana...

Poleni sana.View attachment 2991530Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili.
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Hii inachagizwa na Wanafunzi wengi kuwa na kawaida ya kutumia fedha za kujikimu (Boom) tunazopata kutoka Bodi ya Mkopo kwa ajili ya kulipa ada, pia mpaka sasa wengi wetu hatujapata Boom la pili na hivyo kushindwa kumalizia ada tunayaotakiwa kuilipa.
Changamoto hii imetokea kwenye Vitivo mbalimbali hasa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza na Wapili mbao walilipwa kiasi kidogo.
Wanafunzi tulituma barua ya maombi kwa Mkuu wa Chuo kuomba turuhusiwe kufanya mitihani kwa kuwa malipo ya Bodi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo lakini majibu tuliyopata ni kuwa hilo halitawezekana.
Uongozi wa Chuo umesisitiza Wanafunzi wote wanatakiwa kulipa Ada kwa maelezo kuwa wapo ambao hawategemei Boom kulipa ada ambao hawajapata mkopo na kuwa idadi ya ambao hawajalipa ada ni kubwa, hivyo chuo kina ukwasi.
Mkuu life rahisi lipo wapi? wazee wa fursa tuzame...alafu kwenye hii dunia wenye akili ni wengi na sio lazima wote tuishi....duniani hapa wajanja ndio panawafaa..Inachekesha kama haikuhusu ilaa tunajikaza tuu life imekua tough wazee
Ni kweli asee ani kusoma kwa tabu afu ajira amna tukijiajiri bado wakate deni kupitia kodi oyaaa ni kufanya maamuzi magumu tuu ndo patatoboleka hamna namna chiefMkuu life rahisi lipo watu...wazee wa fursa tuzame...alafu kwenye hii dunia wenye akili ni wengi na sio lazima wote tuishi....duniani hapa wajanja ndio panawafaa..
HahaaaaaNlipita udsm mwaka jana ilikuwa
Nkakuta wanafunzi wa kiume wako kikundi wanakatika mauno
Mziki wa mondi sjui konde yule huku wanarekodi kwa ajili ya tiktok
Ova
Hamien NITView attachment 2991530Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili.
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Hii inachagizwa na Wanafunzi wengi kuwa na kawaida ya kutumia fedha za kujikimu (Boom) tunazopata kutoka Bodi ya Mkopo kwa ajili ya kulipa ada, pia mpaka sasa wengi wetu hatujapata Boom la pili na hivyo kushindwa kumalizia ada tunayaotakiwa kuilipa.
Changamoto hii imetokea kwenye Vitivo mbalimbali hasa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza na Wapili mbao walilipwa kiasi kidogo.
Wanafunzi tulituma barua ya maombi kwa Mkuu wa Chuo kuomba turuhusiwe kufanya mitihani kwa kuwa malipo ya Bodi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo lakini majibu tuliyopata ni kuwa hilo halitawezekana.
Uongozi wa Chuo umesisitiza Wanafunzi wote wanatakiwa kulipa Ada kwa maelezo kuwa wapo ambao hawategemei Boom kulipa ada ambao hawajapata mkopo na kuwa idadi ya ambao hawajalipa ada ni kubwa, hivyo chuo kina ukwasi.
Sio mwanafunzi huyo hata kuandika "tayari"hajuiBaada ya kulipa ada unakula maisha...muulize mzaz wako anakula nini??
Hii ni vita sasaSio mwanafunzi huyo hata kuandika "tayari"hajui