KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Enzi zetu hapo, kingewaka sana. Tungefunga barabara zote mpaka waziri wa Elimu aje kutatua changamoto yetu.
 
huwezi kusoma bila kulipa ada huo ni uhujumu kama mwingine, jitahidi mpate namna nyingine ya kupata Ada ili mulipe maana kisheria hakuna namna mnaqualify kuwa wanafunzi wa udsm bila ya kulipia karo ya masomo, vinginevyo ombeni huruma ya rector na bodi ya uongozi wa chuo iwape nafasi ya kufanya hizo cat 1
 
Nyie madogo acheni kulia lia ,lipeni ada .
 
pole sana vijana...

changamoto hiyo iwaboost kufanya bidii sana katika kujisomea mambo yakikaa sawa. Mmeambiwa mtapewa special paper mtafanya.....
fanyeni namna mmalize hiyo maneno.

hata hivyo,
hakuna jambo rahisi wala jepesi humu duniani na katika maisha iwe shuleni au kazini.

ni vizuri kuzitumia kwa weledi sana fedha za ada zitokanazo na mikopo au kutoka kwa wazazi, kwa malengo na madhumuni mahususi ili kuepuka usumbufu nyakati za mitihani muhimu sana.

maisha mazuri utayakuta tu, tena kwa uhuru na jasho lako mwenyewe ukimaliza masomo, huna haja ya kua ba haraka
 
Poleni sana.
 
Inachekesha kama haikuhusu ilaa tunajikaza tuu life imekua tough wazee
Mkuu life rahisi lipo wapi? wazee wa fursa tuzame...alafu kwenye hii dunia wenye akili ni wengi na sio lazima wote tuishi....duniani hapa wajanja ndio panawafaa..
 
Mkuu life rahisi lipo watu...wazee wa fursa tuzame...alafu kwenye hii dunia wenye akili ni wengi na sio lazima wote tuishi....duniani hapa wajanja ndio panawafaa..
Ni kweli asee ani kusoma kwa tabu afu ajira amna tukijiajiri bado wakate deni kupitia kodi oyaaa ni kufanya maamuzi magumu tuu ndo patatoboleka hamna namna chief
 
Hamien NIT
 
Hapo utakuja kuona serikali yao ya wanafunzi iliyojaa mapandikizi ya UVCCM inamshukuru Mama Abdul ameongeza boom eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…