KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni kweli asee ani kusoma kwa tabu afu ajira amna tukijiajiri bado wakate deni kupitia kodi oyaaa ni kufanya maamuzi magumu tuu ndo patatoboleka hamna namna chief
Iv ukijiajiajir wanakukataje loan ya board ya mkopo.


Ni kweli asee ani kusoma kwa tabu afu ajira amna tukijiajiri bado wakate deni kupitia kodi oyaaa ni kufanya maamuzi magumu tuu ndo patatoboleka hamna namna chief
 
Juzi mbunge alisema mulipiwe Ada mkagoma mnataka boom..
Kaeni kwa kutulia dawa iwaingie..
Mmpewq laki Sita mkaenda kulewa badala ya kulipa Ada...
Wapigwe na viboko aoooo😃😅😀😅😀😀😅
 
Daah, sasa hao watoto watatoa wapi ada masikini? 😭

By the way, neno sahihi hapo mwisho ni ‘Ukata’, sio ‘Ukwasi’
 
Chuo changu kinatia aibu sana!

Labda wanajua fika hakuna ajira mtaani kwahio Bora wachukue Chao mapema kabisa!!

Graduate asie na ajira atalipaje ada baada ya kumaliza masomo!!?

Poor Tanganyika!
 
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU ....... MLIMANI KUMEKUCHA. Liliandika gazeti la majira wakati huo tukipinga kuanzishwa kwa bodi ya mikopo 2004. nyie badala ya kugoma na kupiga kelele mnakimbilia jf
alishawahi kusema prof. chachage kwamba ukiona mwanafunzi anasomma miaka mitatu au minne bila kugoma jua huyo anakariri tu anayofundishwa na haelewi kitu
 
Kuna kugoma lakin sio ada...tena ada ya UDSM...madogo wanavyopata accomodation 10,000 per day wanazani ilijileta tuu...kuna watu walikaa ndani...kuna watu waliumia...kuna watu chuo walifukuzwa...vimekaa hapo dadeki ningetembeza bakora ...kizazi gani hichi wanadeka hivi?
 
wanadeka tu na kutwa kwenye smartphone ukiwauliza hata tanzania kuna wilaya ngapi hawajui wanatamani kuwa dimond plantnums
 
Ulivyokorofika sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hali ya mateso chini ya wazanzibar ni dhahama kubwa kwa taifa
 
Hawajuii

Hukuu kunachaaaaawa waliowafukuza wanawazoom na kucheka
 
Ndio hali ya mateso chini ya wazanzibar ni dhahama kubwa kwa taifa
Yaan hii coment yako imejaa tu chuki..,kwan udsm tokea kianzishwe kina miaka 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…