Hakika! Tungewekeza hii nguvu ya kufukua makaburi kwenye utafiti na ugunduzi, hadi sasa tungekuwa tumeshaipa kisogo Marekani, Japan, Urusi, China, Ujerumani, nk katika maendeleo ya kiteknolojia.Dah watu wa nchi hii nibalaa Kwa kufukua habari zilizo pita
Hii yote ni kwasababu serikali ya CCM imewaumiza Sana Watanzania.Hakika! Tungewekeza hii nguvu ya kufukua makaburi kwenye utafiti na ugunduzi, hadi sasa tungekuwa tumeshaipa kisogo Marekani, Japan, Urusi, China, Ujerumani, nk katika maendeleo ya kiteknolojia.
Yuko Kilongawima Kunduchi Dar es salaam.Professor Penina Mlama,sijui yupo wapi .
RIP John.
Matatizo ya moyo yalimuanza zamani.
Vetting yetu ipoje mgonjwa hivi anapewa ikulu?
Hata afya yake ya akili ni Kama haikuwa sawa.
Mara Mimi ni jiwe, Mimi ni kichaa na napenda vichaa kama mpina, mama unalia vizuri inaonekana unaliaga hivyo kwa mme wako, kaa na mavi yako nyumbani etc ni ishara kuwa tulikua tunaongozwa na mtu ambaye kichwani hakuwa timamu 100%
View attachment 1729018
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Kweli wewe zumbukuku, kabla yake barabara hazikuwepo au ametoa hela zake mfukoni?Ukichaa wake umenufaisha wengi hasa barabara ambazo hata few out of rafiki na ukoo wako watapita...
Magu atadumu forever kwenye nafsi za watanzania...
Ila kwa washirikina it's ok kushangilia