Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992