Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli


..mtu aliyesaidiwa matibabu namna hii akaelekeza bunge limnyime Tundu Lissu stahiki zake za matibabu.
 
Pamoja na tatizo lake hilo kubwa bado rais Magufuli aliji sacrifice kubeba jukumu zito la kuwahudumia watanzania

Apumzike kwa amani rais John Pombe Magufuli[emoji120]

Twinstar wangu[emoji95][emoji95]
kuwa Rais ilikuwa ni kiherehere chake, mengine mbwembwe tu.
 
Waliomfanyia opereshen na kuweka hicho kifaa cha shoti ya umeme ni mabeberu haohao wanaotukanwa...

Huwezi jua labda mabeberu walizima mtambo wao juu kwa juu kwa rimoti...

Usitukane mamba kabla hujavuka mto...
 
Hilo ni gazeti gani? Toleo namba ngapi? La tarehe ngapi?
 
Waliomfanyia opereshen na kuweka hicho kifaa cha shoti ya umeme ni mabeberu haohao wanaotukanwa...

Huwezi jua labda mabeberu walizima mtambo wao juu kwa juu kwa rimoti...

Usitukane mamba kabla hujavuka mto...
Covid19 ndiye aliyeingia kuizima pacemaker.
 
Pamoja na tatizo lake hilo kubwa bado Rais Magufuli aliji sacrifice kubeba jukumu zito la kuwahudumia watanzania

Apumzike kwa amani Rais John Pombe Magufuli🙏

Twinstar wangu💥💥
Uroho wa madaraka tu kwa hali yake ilibidi akatae kazi ya urahisi mana mwenyewe alishakiri kuwa ni ngumu sana
 
Walisoma bure na kuchangiwa hadi ela za nauli kwenda kwenye matibabu wakasahau yote na kuja kuifanya elimu biashara mkopo wa elimu ya juu umekua zaidi ya mkopo wa bank
 
Corona inapiga kwenye mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…