Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakifika kwa waarabu wenzao hao wanabaguliwa kwamba sio waarabu kamiliWangeenda kwa waarabu wenzao, hapa mazingira sio rafiki.
Hujui tu, mbona wasudani ndio walimu huko Saudia na nchi nyingi tu za kiarabuHao wakifika kwa waarabu wenzao hao wanabagiliwa kwamba sio waarabu kamili
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hata waafrika na watu toka mataifa mbalimbali wapo huko wakifundisha na kufanya kazi tofauti tofauti, hilo halina Uhusiano wowote na ubaguzi, kubaguliwa kupo palepale.Hujui tu, mbona wasudani ndio walimu huko Saudia na nchi nyingi tu za kiarabu
Ila nyie watu mna hisia za udini kali loh Sudani iko Africa ukuraini iko ulaya.......lohHii ndo taarifa inayoelezwa kwa majivuno eti wanafunzi 650 wa Sudan wamepokelewa Muhimbili kuendelea na masomo. Lakini tulishuhudia wanafunzi wa-TZ waliokuwa wanasoma Ukraine wakikosa uelekeo na hata hatukusikia wakipokelewa ktk vyuo vyetu nchini.
Naomba niinue masikio yangu na kuamini kwamba dini ni utumwa wa milele. Yaani haya Mwislam wa TZ anaamini yule wa Sudan ni ndugu kuliko wa-Tz wenzake. Ingawa ukweli upo wao Sudan hawaoni thamani ya Mwislam wa TZ.
Mataqo wwHao wasudani ni wale wenye asili ya somalia
Unajia somali people wanaushawishi kwa sasa serikali hii
Wengi wao hawakuwa na sifa ndo maana walikimbilia kwenye college za kishamba East EuropeHii ndo taarifa inayoelezwa kwa majivuno eti wanafunzi 650 wa Sudan wamepokelewa Muhimbili kuendelea na masomo. Lakini tulishuhudia wanafunzi wa-TZ waliokuwa wanasoma Ukraine wakikosa uelekeo na hata hatukusikia wakipokelewa ktk vyuo vyetu nchini.
Naomba niinue masikio yangu na kuamini kwamba dini ni utumwa wa milele. Yaani haya Mwislam wa TZ anaamini yule wa Sudan ni ndugu kuliko wa-Tz wenzake. Ingawa ukweli upo wao Sudan hawaoni thamani ya Mwislam wa TZ.