Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

Nimeona mitandaoni kuwa Chuo Kikuu cha Muhimbili kitachukua wanafunzi kutoka Sudan sababu ya vita inaendeleo huko. Huu ni uungwana wa hali ya juu sana. Pongezi kwa chuo na serikali.

Ila nimeshangaa mawazo ya wabongo. Eti wameanza kudinda! Yaani mtu mweusi akiona mwanamke shombeshombe au mweupe anarukwa akili kabisa😀.

Watu wanasema wanatamani warudi chuo ili kuona mademu wa kisudan. Mara hivi mara vile. Hata hao mnaowapa msaada wataogopa kabisa. Wanafanya utani lakini inaonyesha mentality zetu ziko wapi. Watu gani vimb*lo dinda namna hii!!!?😀
 
CCM wameua elimu Tanganyika Kwa hiyo vijana hawana hoja za udadisi juu ya maendeleo ya nchi zao, jiulize mtihani was hisabati darasa la Saba swali la Kwanza hadi swali la hamsini ni kuchagua tu hivi mtu huyu ataweza kufikiri kweli!Hayo ndio matokeo ya elimu ya Tanganyika.
 
Sijui kwanini wamekuja nchi kama hii! wangeenda kwa waarabu wenzao kidogo ingekuwa mazingira rafiki.
 
Bora wangeenda kwa waarabu wenzao tu hapa mazingira sio rafiki.

Ni kama eti Tanzania tuwe wakimbizi halafu tukimbilie Somalia.

Najua hamtonielewa.
 
Hujui tu, mbona wasudani ndio walimu huko Saudia na nchi nyingi tu za kiarabu
Hata waafrika na watu toka mataifa mbalimbali wapo huko wakifundisha na kufanya kazi tofauti tofauti, hilo halina Uhusiano wowote na ubaguzi, kubaguliwa kupo palepale.

Hivi unajua ni kwakiasi gani hao waarabu wa Sudan walivyo wabaguzi rangi?, Vita vonavyoendelea huko kwao pia msingi wao ni ubaguzi wa rangi. Waulizwe watu wa South Sudan na Darfur watakuambia jinsi walivyo wabaguzi hao waarabu wa Sudan

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndo taarifa inayoelezwa kwa majivuno eti wanafunzi 650 wa Sudan wamepokelewa Muhimbili kuendelea na masomo. Lakini tulishuhudia wanafunzi wa-TZ waliokuwa wanasoma Ukraine wakikosa uelekeo na hata hatukusikia wakipokelewa ktk vyuo vyetu nchini.

Naomba niinue masikio yangu na kuamini kwamba dini ni utumwa wa milele. Yaani haya Mwislam wa TZ anaamini yule wa Sudan ni ndugu kuliko wa-Tz wenzake. Ingawa ukweli upo wao Sudan hawaoni thamani ya Mwislam wa TZ.
 
Ila nyie watu mna hisia za udini kali loh Sudani iko Africa ukuraini iko ulaya.......loh
 
Hao wasudani ni wale wenye asili ya somalia
Unajia somali people wanaushawishi kwa sasa serikali hii
 
Hii ndo taarifa inayoelezwa kwa majivuno eti wanafunzi 650 wa Sudan wamepokelewa Muhimbili kuendelea na masomo. Lakini tulishuhudia wanafunzi wa-TZ waliokuwa wanasoma Ukraine wakikosa uelekeo na hata hatukusikia wakipokelewa ktk vyuo vyetu nchini.

Naomba niinue masikio yangu na kuamini kwamba dini ni utumwa wa milele. Yaani haya Mwislam wa TZ anaamini yule wa Sudan ni ndugu kuliko wa-Tz wenzake. Ingawa ukweli upo wao Sudan hawaoni thamani ya Mwislam wa TZ.
Wengi wao hawakuwa na sifa ndo maana walikimbilia kwenye college za kishamba East Europe
 
Hii nchi raia wqke ni kulalamika masaa 24/7 yaani ni Lawama tuuu serikali isifanye jambo.kwao ni kosa..wanalalamika tuuu kama matoto na kamasi
 
Back
Top Bottom