Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi.
Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo kusoma, haijulikani muda anaenda kazini.
Wako kwenye standard ya kipekee sana ya maisha, wanalingana na wafanyakazi waajiriwa kabisa kwenye standard ya life.
Sasa sijui wanalipwa siku hizi huko vyuoni au maisha tu yamewanyookea na pocket money wanayopewa na wazazi wao au ndio kuelimika kwenye huko?.