Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

Ni jambo la kupongeza au ulitaka waishi kama mashetani
 
Watoto wanatumia technology ipasavyo,wamemaster kwelikweli online business,yaani vitoto vya chuo siku hizi ni vi -winga Kwa kwenda mbele....msiwasingizie wanadanga wakati wanaume wenyewe siku hizi wote wamekuwa wapare😢
 
Wanaume au wanawake hao wanaodanga na kuwanga? Mchawi mpe Mwanao
 
Waishi km waokota makopo rafurafu tu aibu kwa Taifa,
hamna sehemua ambayo inamataka mtu aishi vibaya kisa yeye ni mwanachuo..

Ukitaka kuishi maisha yoyote kama unaweza kuafford ishi

boom ni lqki sita mwanachuo anamiliki samsung s23 utra 📌
 
Wewe inakuhusu Nini Mchawi Wewe? Unasikia raha kuwanga?
Sasa wewe ndo mchawi sasa ambae hupendi mwenzio aishi maisha mazuri haliyakua anayamudu kisa ni mwanachuo

Unataka aishi vp??

Kupitia maisha magumu sio kipimo cha upambanaji magumu yanaweza kukuua WORK SMART
 
Kawaida sana, kuwa, na friji na tv ya hisence, ya, nchi 50,na macho matatu used, unaona maisha, ya, kifahari? Bro ya kawaida sana, hayo! Ni boom tu linasupot, ukimaliza, chuo, ndio, utajua hujui!
 
NDIO acheni waishi Maisha mazuri komanyoko zenu mnawasaidia kuirudisha kwani?
 
Kawaida sana, kuwa, na friji na tv ya hisence, ya, nchi 50,na macho matatu used, unaona maisha, ya, kifahari? Bro ya kawaida sana, hayo! Ni boom tu linasupot, ukimaliza, chuo, ndio, utajua hujui!
"Nyumban huwezi kaa kama kimbweta huku hakuna boom bila kazi hupqti pesa" dear msomi_Nacha ft Stamina
 
Kama wewe ni mbunge kweli na upo bungeni, basi bungeni kuna tatizo kubwa kuliko mtaani. Kampeni ya msaada wa afya ya akili, inapaswa ianze kutolewa bungeni.

Mtu mzima, kuja na hoja jumuishi kama hii mbele za watu ni mzaha.

Kwasababu umeona yule demu wako wa Chuo cha Mipango, kanunua vitu vya ndani kwa vipesa unavyomuhonga basi unaamini ndio maisha ya wanavyuo wote?

Kwanza wewe ni mzushi na muoga. Kama naongopa, katoe kauli hii bungeni ili tuamini hoja yako ina lengo nzuri kwa wanavyuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina karahisisha mambo siku hizi vitu bei chee tu watu washindwe kuishi vzuri kisa nn? Kwani dunian mme kuja kuteseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…