Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

Nani kasema waishi maisha magumu mbona kama unakua kama ngedere mi so mtoa uzi
Mnataka waishi km digidigi ili iweje nyinyi na Mbunge wenu Gegura sijui Gegere yule mnawachawia wanachuo waishi Maisha magumu kila uchao Wachawi wakubwa nyinyi wanachuo wamewakosea nini Wanga nyinyi
 
Nenda kwa mtoa uzi mbona unaongea kwa kukurupuka sana mtoto wa 2000's
 
Japo so wote Wengi wao ni waizi wa mitandaoni na bodies pusher's kwa wakike
 
Wanachuo wengi wa kipindi hichi wazazi wao kidogo wana kipato
Sio kweli kaka wanafunzi wengi ni son of peasant kumbuka shule za kata zimekuwa nyingi na zinabeba wanafunzi wengin na hawa wanafunzi wengiwao ndio huenda chuo....trust me.
 
Wanachuo wengi wa kipindi hichi wazazi wao kidogo wana kipato
Pia ukiachana na inshu ya wazazi pia wengi wao wanajishughurisha na vitu mbali kupitia network marketing.

Kwa mfano maisha ya dar kwa mwanachuo kama unategemea boom haliwezi kukidhi mahitaji.

kwahiyo automatically utashift ili uendane na mazingira uweze kujikimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…