Kuna ambao anategemea sponsor (uncle) wao.
Kuna wanaofanya biashara ndogo Kama mawinga, delivery services, Kuna wanao agiza nguo na viatu toka nje na kupeleka mikoani.
Enzi zangu miaka hiyo niliajiriwa nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu.
Yupo binti ana agiza samaki toka mkoani akitoka darasani anasambaza kwa wateja Dar.