Hivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.
Ila kwenye Qu'ran na hadithi Kuna viashiria kuwa Wanafunzi wa Yesu na waliomfuata mafundisho yake kiukweli walishahadia hata kabla ya ujio wa Mtume Muhammad (Peace and blessings be upon Him ) na kuweka nia kuwa akija watamfuata kwani alitajwa kwenye vitabu vyao na ikawa unafahamika kuwa Kuna Mtume mpya atatokea bara la Uarabuni.
Ndio maana Kuna Swahaba Salmani Al Farsi(Allaah amridhie )yeye alikuwa kwenye dini ya kuabudu moto huko Syria kama sikosei siku ulivyokuja msafara Wakristo nchini kwao akaipenda hiyo dini na akatoroka kuishi na kiongozi mkubwa wa Kikiristo wakati huo alipo kufa alihamia kwa kiongozi mwengine mpaka wa mwisho alipokaribia kufa alimwambia kuwa Zama za kufika Mtume mpya zimekaribia akamuelekeza alama zake na maeneo atayapatikana huyo Swahaba akafika mpaka Madina akahakiki zile alama alizoambiwa na huyo kiongozi wa kikiristo akawa Muislamu . (Soma historia yake Swahaba Salman Al Farsi Allaah amridhie ipo hata gugo)
Nitarudi nikuonyeshe Shahada kwenye Qu'ran
Qurโan iliandikwa wakati wa Muhammad na ilikusanywa baadae ikiwa na maana kuwa kila kilichoandikwa kwenye Qurโan Muhammad alishakiona lakini Biblia imeandikwa baadae na watu wengine walioshiriki kuandika Biblia hata sio wanafunzi wa Yesu ila waliandika maneno yao tu
Sijakuambia dini iko moja nimekwambia dini ya Allah ni moja tuKama ni moja basi wakristo na wayahudi ni waislamu.....kwa nini wanatakiwa kusilimu ili kuwa waislamu? Je muislamu usilimu kuwa muislamu? Mfano mshia anaweza kusilimu kuwa msuni
Vipi muislam mwenzenu Isa alibatizwa mto yordani kwa MAJI wewe ulibatizwa wapi?Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Injili sio maneno ya mtu yeyote ila ni maneno ya AllahManeno yao ambayo ndio Injili.
Jibril hakumuhadithia Mtume Injili ila alimfundisha Qurโan kama alivyopokea kutoka kwa Allah na Muhammad hakuwahi kusoma InjiliNa Jibril alimuhadithia mtume hiyo Injili na mtume akawahadithia maswahaba wake na kuweka kwenye Quran.
Hata kwenye Injili hakukuwa na hizo storiNa wakaandika vibaya kuwa Yesu kazaliwa chini ya mtende badala ya kwenye zizi la ngombe.
Injili(sio Biblia)haijaandikwa na wanafunzi wa Yesu ila ni maneno ya Allah aliyomteremshia Mtume wake Isa
Qurโan ni maneno ya Allah ambayo Mtume alikuwa anawasomea maswahaba kisha wao wanayaandika kabla ya wao kuyakusanya na kuyaweka pamoja
Wakristo Mungu wetu anaitwa NIKO AMBAYE NIKO:Hivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?
Mbona ni Waislam tu wanataka kuonesha wao na Wakristu wanaabudu mungu mmoja?
Mbona hata Wayahudi hawamrambui Allah wala Muhamad? Mbona hawa rime na hao watu wala Makkah wala Madina?
.Jibril hakumuhadithia Mtume Injili ila alimfundisha Qurโan kama alivyopokea kutoka kwa Allah na Muhammad hakuwahi kusoma Injili
Hata kwenye Injili hakukuwa na hizo stori
Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu waoHivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?
Mbona ni Waislam tu wanataka kuonesha wao na Wakristu wanaabudu mungu mmoja?
Mbona hata Wayahudi hawamrambui Allah wala Muhamad? Mbona hawa rime na hao watu wala Makkah wala Madina?
Wayahudi na dini ya uyahudi ni waislamu au siyo waislamuSijakuambia dini iko moja nimekwambia dini ya Allah ni moja tu
Kwenye Injili hakuna kisa cha kuzaliwa kwa Isa maana hicho kitabu alipewa yeye mwenyewe Isa kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuongelea habari zake zaidi ya habari za waliopita na wajaoInjili ni nini? Na ina vitabu? Kama viko ni vingap? Na vinasema visa vya nani?.
Nb: kwenye hivyo Visa utaona kisa cha kuzaliwa kwa Yesu.
Sasa ndio useme nan kakosea.
Isa hakuwahi kubatizwa wala kutahiriwa kama Dini ya Nabii Ibrahimu inavyotakaVipi muislam mwenzenu Isa alibatizwa mto yordani kwa MAJI wewe ulibatizwa wapi?
Sasa si umeshasema ni wayahudi๐๐๐Wayahudi na dini ya uyahudi ni waislamu au siyo waislamu
Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao
Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
Wapi tumejifungamanisha na Ukristo?Bro. Wakristo hatumtambui na kamwe hatuwez kumtambua Mohamed wala allah.
Waislam mnajipendekeza sana na Wakristo. Hatuwataki bana aaagh๐๐๐๐
Bakin na manabii wenu watatu na mtume wenu mmoja. Si ingetosha kabisa. Kwann mfungamane na wakristo alaf kutwa kucha unasema eti wanakosea.
Yaan ukute dini iko miaka 600+ alaf ww utokee jamii nyingne kabisa na kusema eti wanakosea.
Ni ujinga kuamini hayo.
Isa hajazaliwa Madina acha kupotoshaIsa mzaliwa wa Madina ni Mwislamu kamili kabisa