Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran


Mohamed ndio hakutahiriwa.

Waislam wabishe kwa aya ya Quran kuwa Mtume alifanyiwa sunna.
 
Mohamed ndio hakutahiriwa.

Waislam wabishe kwa aya ya Quran kuwa Mtume alifanyiwa sunna.
Halafu wanasema ameichukua Dini ya Ibrahimu:
Nimekumbuka ni kweli ni Ibrahimu mtoto wa Al-Azar na sio mtoto wa Tera:
Samahani lakini
6:74
Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.
Kumbe ni mtoto wa Azarias Mwandambo:

Na sio huyu
Mwanzo (Gen) 11:26
Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.
 
Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao
Kama Allah ni mungu muweza wa yote mbona Wakristu ndiyo wanaongoza dunia? Kwa nn nchi zisizoamini Allah ni dhaifu sana mbele ya nchi za Makafir?
Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
Allah ni jina la jumla la mungu kwa kiarab. Huyo mungu wa kiarab jina lake ni nani?
Musa alipoambiwa na Mungu akawakomboe waisrael toka kwa Farao, Musa alimwambia Mungu kuwa Waisrael watamuuliza mungu gani kakutuma? Jina lake ni nani? Ndipo Mungu akamwambia Musa wakikuuliza wajibu Mungu "Niko ambaye niko" ama "YHWH" kwa kiebrabia amekutuma.

Muhamad hakuna sehemu anasema mungu yupi kamtuma anadai tu mungu(Allah) kamtuma.
 
Kama Allah ni mungu muweza wa yote mbona Wakristu ndiyo wanaongoza dunia? Kwa nn nchi zisizoamini Allah ni dhaifu sana mbele ya nchi za Makafir?
Imeandikwa dunia ni gereza kwa muumini na pepo kwa kafiri
Muhamad hakuna sehemu anasema mungu yupi kamtuma anadai tu mungu(Allah) kamtuma.
Yeah na Allah ndiye aliyemtuma kama alivyowatuma Mitume na Manabii kabla yake
 
Allah ni jina la Mungu wa Waarabu, Wakureshi.
Kwa Kiarabu Mungu ni illah:
Shahada yao
La illah ila Allah= Hakuna Mungu isipokuwa Allah:
There is no God but Allah

Hao Huwa wanajitoaga ufahamu tu ili kufanya Taqiyya
 
Allah ni jina la Mungu wa Waarabu:
Kwa Kiarabu Mungu ni illah
Shahada
La illah ila Allah= Hakuna Mungu isipokuwa Allah:

Hao Huwa wanajitoaga ufahamu tu ili kufanya Taqiyya
Ilaah ni sawa na kusema god na Allah ni sawa na kusema The God ambaye huyo ni mmoja tu
 
Allah ni jina la Mungu wa Waarabu, Wakureshi.
Kwa Kiarabu Mungu ni illah
Shahada
La illah ila Allah= Hakuna Mungu isipokuwa Allah:

Hao Huwa wanajitoaga ufahamu tu ili kufanya Taqiyya
Allah sio Mungu wa waarabu ila ni wa watu wote hata wewe ingawa sio watu wake wote wanamuabudu
 
😃😃😃😃😃😃
😭😭😭😭😭😭
 
Isa ni Myahudi wa taifa tu ila ni Muumini wa Allah kwa mujibu wa Qur’an
Mbona una tanga tanga kwenye hoja zako 😁hoja ya vipi Muhammad ni muislamu wa kwanza ukaja na kituko cha fafanuzi mpya kabisa ambayo ukiitumia kwa muislamu wa pili bi khadija inapingana 😁😁😁 hapa bado sijakuletea aya ndani ya msahafu za kukuumbua
 
Kama kuna kitu ambacho hakitakaa kiondoke kwenye fikra ya mwafrika basi ni utumwa.
 
Nilipotangatanga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…