Mjibuni kwanza Profesa wa Islamic History Sir Salman Rushdie:
Aliye andika Qurani ni Satanic Verses:
Kila akiwaalika ili awaeleweshe mnaishia kuwatumia Magidi ili wamwue:
Mara ya mwisho aliwaalika mkaishia kumchoma visu:
Na badala ya kumjibu mmeishia kukipiga marufuko kitabu chake na kumtangazia Fatwa yaani mkimkamata mumuuwe:
Hivi inahitajia elimu ya dalasa la ngapi ilijue kuwa Qurani ni Satanic Verses ?
Ni kwanini mumetangaza kuwa hairuhusiwi mtu yoyote kuuza, kusambaza au kusoma Satanic Verses?
Nyie na Mwarabu PhD in Islamic History ni nani anaujua Uislamu ?
Hivi hata mnashindwa kujiuliza kweli...!
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Hueleweki toa hoja 🤣🤣🤣Wewe mwanzo ulisema ni zama za umma wake mbona unaleta sindimba kwenye hoja unakata mauno tu ...hapa bado nakupasha moto tu bado sijaja na hoja nzito nakuacha ujitumbukize mwenyewe ...na wewe umeanza kuona logic japo hauta kubali kuwa maswali ninayo kuuliza yana logic ...ushahidi ni kwamba umeanza kupingana na mashehe wote ili kutafuta upenyo ...sasa unataka mimi ndiyo nibuni kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi kwenye umma gani wakati wewe ulisha eleza huko nyuma 😁😁😁 adriz Al-mukheef FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax njooni huku mwenzenu baada ya kuona hoja zangu zilivyo akaja na dhana mpya ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kakwama na dhana yake mpya imebuma.
Kumbe Petro na Yohana ni waadzabeHauko serious Mkuu!
Hiwafahamu Wahazabe?
Wewe mwanzo ulisema ni zama za umma wake mbona unaleta sindimba kwenye hoja unakata mauno tu ...hapa bado nakupasha moto tu bado sijaja na hoja nzito nakuacha ujitumbukize mwenyewe ...na wewe umeanza kuona logic japo hauta kubali kuwa maswali ninayo kuuliza yana logic ...ushahidi ni kwamba umeanza kupingana na mashehe wote ili kutafuta upenyo ...sasa unataka mimi ndiyo nibuni kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi kwenye umma gani wakati wewe ulisha eleza huko nyuma 😁😁😁 adriz Al-mukheef FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax njooni huku mwenzenu baada ya kuona hoja zangu zilivyo akaja na dhana mpya ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kakwama na dhana yake mpya imebuma.
Yesu kaja milongo kadhaa kabla. Baadaye kuna tutusa anakuja kunakili mapokeo yake. Halafu kuna matutusa squared yanakuja kuamini. Hatari sana.
Mtu akizaliwa anakuwa automatically muislam,and that's according to you Muslims.Kumbe Petro na Yohana ni waadzabe
Hao waadzabe wanaitwa Ahlul fatrah na hukmu yao ipo kwa AllahMtu akizaliwa anakuwa automatically muislam,and that's according to you Muslims.
Sasa Mimi nakuuliza wale wahadzabe wa porini ambao hawana dini yeyote ni waislamu wenzenu?
Petro na Yohana nao walikuwa waislamu?
Umesema Muhammad ni wakwanza kwa utekelezaji wa Wahy wa mungu kwa kiwango cha juu ndiyo maana ya Muhammad kuwa wa kwanza ......hivyo nikakuuliza kuna mtume yoyote aliye juu ya Muhammad kwenye utekelezaji wa wahy ?jibu ni hakuna ndiyo maana Muhammad amejiweka juu ya mitume wote ...swali likaja kwanini awe wa kwanza kwenye ummq wake tu ikiwa,ni wakwanza kwa nyuma zote yaani yeye kawashinda kwa daraja mitume wote walio tangulia.Sasa wewe unaona nimekosea nini wakati aya inasema kuwa nimeamrishwa kuwa wa kwanza kwa waislamu na mimi nimekwambia kwa utekelezaji wa wahyi wake
Sasa wewe unataja wa nyuma yake kwani wa nyuma yake wao waliuona wahyi wake🤣🤣🤣
Elewa wahyi wake ambao amepewa yeye sasa hao mitume wa nyuma wahyi wake wataufuataje wakati haukuwepo?Umesema Muhammad ni wakwanza kwa utekelezaji wa Wahy wa mungu kwa kiwango cha juu ndiyo maana ya Muhammad kuwa wa kwanza ......hivyo nikakuuliza kuna mtume yoyote aliye juu ya Muhammad kwenye utekelezaji wa wahy ?jibu ni hakuna ndiyo maana Muhammad amejiweka juu ya mitume wote ...swali likaja kwanini awe wa kwanza kwenye ummq wake tu ikiwa,ni wakwanza kwa nyuma zote yaani yeye kawashinda kwa daraja mitume wote walio tangulia.
Narudia tena elewa wahyi wake yeyeswali likaja kwanini awe wa kwanza kwenye ummq wake tu ikiwa,ni wakwanza kwa nyuma zote yaani yeye kawashinda kwa daraja mitume wote walio tangulia.
Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.Narudia tena elewa wahyi wake yeye
Je,katika Mitume hao wa nyuma unaowataja kuna ambaye alishuhudia wahyi wake Mtume Muhammad?
Aisee we jamaa dah🤣🤣🤣Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.
Au hujui maana ya wahyi???Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.
Kumjua Kristo ni Neema ya Kimungu:Waislamu kwanini mnakuwa waongo?
Kwa mtu mwenye kutafakari hawezi kuwa muislamu kabisa
Mimi huu uongo ndio ulinifanya nione kwanini nabaki kwenye dini ya uongo
We sikiliza mihadhara yao ijumaa. Mingi inaongelea ngono na wanawake.Ukishakuwa kobaz huwezi kuwa timamu kichwani