DOKEZO Wanafunzi wanaagizwa kupeleka matofali ikiwa kama adhabu wanapofanya makosa shuleni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waache wawalegeze watoto wao matokeo hasi maishani watayaona.Wataliwa sana kiboga
 
Kuna shule ukichelewa kumchukua mtoto wakati wa kufunga ni 50,000 kwa saa .Saa kumi na mbili asubuhi wazazi wote tupo getini[emoji28][emoji28][emoji28]

kwa hiyo ni kufuata Sheria bila shuruti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hiyo shule iko mkoa, wilaya gani na ni tofali la nchi ngapi?
 
Waache wawalegeze watoto wao matokeo hasi maishani watayaona.Wataliwa sana kiboga
Mtoto akikosea kubali aadhibiwe , uzuri africa kwa sasa tunaelewa sio bakora tu ! Tuna mbinu zaidi !! Tunakataa ukatili ila adhabu kwa mtoto muhimu !!
Eti toto unalisema kidogo linasusia chakula kabisa !
Mkae mezani uanze kujadiliana nalo 😁😁 wamama wa kinyakyusa ashaligongesha ukutani na unakula uzungu hatuuwezi ! Sisi ni maskini
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Watu tumesoma shule ya msingi tumelima
Nyie sshv hamtaki watoto wenu waguswe....ndomana sahv matatizo ya ushg yanaongezeka

Ova
 
Si mlisema hizi ndizo adhabu mnazotaka mbadala wa fimbo!! Imekuwaje tena? Ila watanzania hata hamjui nini mnataka walah
 
Watu tumesoma shule ya msingi tumelima
Nyie sshv hamtaki watoto wenu waguswe....ndomana sahv matatizo ya ushg yanaongezeka

Ova
Vitoto vimekuwa mayai mayai mno.
 
Kuna ujuzi wa kununua tofali soma vizuri, au unazungumzi ujuzi wa kuiba hela unafikiri watoto wrote watasema nyumbani kuwa wanatakiwa kununua tofali? Unamwambia mtoto akanunue tofali akuletee? Mpe mchanga na cement apige uone kama tutaongea,
Tuna tatizo kubwa la uelewa, hakuna anaepinga mtoto kufanya kazi kama kupiga tofali tunapinga kumwambia akuletee tofali 5 wakati mchanga wala cement hujampa, acha vibao na mashine au unataka akaibe tofali mwisho wamchome, watu wengi wanjibu bila kuelewa logic behind
 
Vitoto vimekuwa mayai mayai mno.
Kumtoza mtoto hela kunamsaidiaje asiwe shoga? Mpe cement na mchanga apige tofali si kumwambia akanunue, pesa atapata wapi au ndio aanze ushoga ili apate pesa maana hafanyi kazi fikiri nje ya box
 
Kumtoza mtoto hela kunamsaidiaje asiwe shoga? Mpe cement na mchanga apige tofali si kumwambia akanunue, pesa atapata wapi au ndio aanze ushoga ili apate pesa maana hafanyi kazi fikiri nje ya box
Wewe mzazi wake ndio umpe huo mchanga na simenti afyatue hayo matofali. Usimpe hela.
 
Pasua kichwa hiyo hatari ,lazima wanafunzi watuibie tofali tulizozitunza!!! ,

Walimu wanajenga Nini!? ,nishule za kayumba au!?
 
Wewe mzazi wake ndio umpe huo mchanga na simenti afyatue hayo matofali. Usimpe hela.
Lini baba yako aliadhibiwa kwa kosa lako kuchelewa darasani au kuchelewa kumaliza kazi ya darasani?
 
Tumesomba mawe, kuponda kokoto, kufyatua tofali, kuchimba na kusawazisha maeneo kama greda.

Wewe umesomea wapi? Au bas inawezekena ni wa kishua
imekusaidia nini zaidi ya kuwa hohehahe unayetanga tanga mitandaoni?
 
Acha kiherehere.

Kujenga shule sio kazi yako.

Tafuta hela mwalimu. TAFUTA HELA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…