Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Waache wawalegeze watoto wao matokeo hasi maishani watayaona.Wataliwa sana kibogaMimi niseme tu ukweli isingekua adhabu za shuleni na mzazi kuwa na mimi sambamba kwenye kutengeneza nidhamu !! Ningekua mtu wa ovyo sana! Nisingekua hapa
Kwenye kulea watoto tumia njia zote bakora kiasi, ushauri wa kutosha na adhabu za kumjenga !!
Halafu ukiwa maskini ,umeshindwa kuwapa watoto maisha bora basi , komaa na nidhamu yao wawe watu wa kueleweka maishani !! Watakusifu baadae