DOKEZO Wanafunzi wanaagizwa kupeleka matofali ikiwa kama adhabu wanapofanya makosa shuleni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watoto wakichapwa, mnalalamika! Wakipewa adhabu mbadala, mnalalamika! Wakiachwa halafu baadaye wakafeli mitihani, mnalalamika!

Ukiona mambo huyawezi, mhamishie shule nyingine! Sawa mzazi.
Nakuona Tate unasimamia kidete maadili ya ualimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
inakusaidia nini wakati unalipwa mshahara laki mbili kwa mwezi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Walimu vichaa sana.
 
inakusaidia nini wakati unalipwa mshahara laki mbili kwa mwezi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Walimu vichaa sana.
Wanafanya hivyo ili wajenge uzio wa shule. Maana wakifelisha kwa sababu ya utoro sugu wa mitoto yenu, mnaenda tena kuwalalamikia hawafundishi!
 
Walimu vilaza, ndio maana wanalipwa laki kwa mwezi na wanakenua tu. [emoji1787][emoji1787]

Duh.
 
imekusaidia nini mbona uko hapo unalipwa kalaki kamoko unakenua tu!
 
Pasua kichwa hiyo hatari ,lazima wanafunzi watuibie tofali tulizozitunza!!! ,

Walimu wanajenga Nini!? ,nishule za kayumba au!?
Ndizo athari nilizoziona nikaamua kuleta hili dokezo, nilielewa kwamba si watoto wote watasema nyumbani ili wasaidiwe, wengine wataenda kuiba katika site za watu, mwisho tunaongeza tatizo la maadili ila kuna watu hawaelewi, mtoto akianza kuiba tofali leo kupeleka shule kesho ataiba ili akauze, tutamalizaje hawa panya road kama shule zinawabusti
 
Kawaida sana, nakumbuka shule niliyosoma primary kila siku lazima uende na jiwe, hapo una kidumu cha maji, mfagio, maua na kila jumatano lazima ubebe jembe na mbolea na mfuko wako wa madaftari uko pale pale
Kwahiyo haya ndio unaona maisha sawa sawa?

Mtoto kubeba madumu na kuni? Kwako raha?

Akili za mwalimu wa primary hatari san?
 
Walimu vichwa maji hawa.

Ni hatari tumekabidhi taifa kwa watu vibaka kama hawa.
 
Kwahiyo haya ndio unaona maisha sawa sawa?

Mtoto kubeba madumu na kuni? Kwako raha?

Akili za mwalimu wa primary hatari san?
Wewe Dokta Uchwara, kama huwezi kuvumilia changamoto za St. Kayumba, mpeleke mtoto wako Feza kama jamaa yako Lameck.

Hao walimu wa hizo shule, wanavumilia changamoto nyingi sana kutoka serikali yako isiyo jielewa.
 
Nakuona Tate unasimamia kidete maadili ya ualimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamtuma mtoto akaibe tofali site za watu akuletee, si umpe mchanga na cement akupigie tofali kama unataka kumfundisha au kumpa adhabu, akiiba leo akaleta hizo tofali kesho atakukaba akupore maana ulimfundisha, lazima ujiulize ninavyomtuma tofali atapata wapi? Mwingine hatasema nyumbani asaidiwe, atakwenda kuiba kwa Tate mkuu. Fikiri nje ya box
 
Mjinga wewe Kila kitu unalia Lia.

You're irresponsible and coward father ever seen
 
Mmekuwa walaini sana. Mwalimu anachotaka ni tofali ukiweza kuzinya kunya zipeleke..mnakuwa mashoga sababu ya kuwa nale nale. Tena walimu waongeze ziwe tofali 20. Asiyetaka aache akajiuze wabaki watu serious. Pussy nyie. Mnalalamika vitu vya kipumbavu. Kusoma hamtaki na maadili hamna.
 
Wewe Dokta Uchwara, kama huwezi kuvumilia changamoto za St. Kayumba, mpeleke mtoto wako Feza kama jamaa yako Lameck.

Hao walimu wa hizo shule, wanavumilia changamoto nyingi sana kutoka serikali yako isiyo jielewa.
Badala kujenga hoja serikali iweke miundombinu ya maji mashuleni, wewe unashabikia watoto kubeba vidumu na kuni!

Tate umepotoka
 
Hatari sana....

Ndio walimu wetu hawa wa primary school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…