mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kila kitu ni kulalamika tu, Taifa la walalamishi ovyo kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida sana, nakumbuka shule niliyosoma primary kila siku lazima uende na jiwe, hapo una kidumu cha maji, mfagio, maua na kila jumatano lazima ubebe jembe na mbolea na mfuko wako wa madaftari uko pale paleJe, huu ni ubunifu au kuwakomoa wazazi? Kinachoendelea katika shule ya Sekondari Mbande ni kitu cha kutizamwa kwa Jicho la kipekee kwa kuwa kina madhara yake na kisipozungumzwa na kutolewa maamuzi na mamlaka kitaleta shida.
Kumeibuka mtindo wa kuwatoza wanafunzi matofali matatu na kuendelea kulingana na makosa ya kiuanafunzi kama vile kuchelewa, kutokusanya kazi au kutokumaliza kazi za darasani. Wakati naambiwa jambo hili na mtoto wangu anaesoma katika shule hiyo nilichukulia kuwa utani. Nilikuja kuamini baada ya kujionea mwenyewe nilipofika shuleni hapo mmoja wa waalimu akimwambia mwanafunzi alete tofali tatu kwa kutokumaliza kazi ya darasani.
Swali langu kwa wanajamii anaetozwa tafali ni mwanafunzi au mzazi? Mwanafunzi atapata wapi pesa kununua tofali?
Mamlaka husika wanalijua hili? Je, wazazi tumeridhia haya?
Je kuna meongozo unaoruhusu adhabu za kishule kwa wanafunzi kulipwa kwa pesa?
Kupigwa Watoto nyinyi hamtakiSasa tofali 3 si sh. 3000
Ni sahihi makosa ya kiuanafunzi kutozana fedha?
Nahuwezi kuwa na mtoto kwa sababu nawewe ni mtoto bado unakula kwa wazazi wakoHivi kazi ya shule ni nini? Kufundisha na kutumia akili au kutumia nguvu kusolve matatizo madogo badala ya kutumia akili?
Alafu utakuta mtu mnalalamika toto lake limemaliza shule lakini halijui nini cha kufanya tofauti na ajira, je kazi ya shule iko wapi hapo?
Huu ni mzunguko usioisha sababu hata walimu walipitia huko hivyo wanaona sawa tu, I wonder why watanzania ni waoga na wajinga kupitiliza.
Huu uzi unaonyesha majority ya akili mbovu za kitumwa za waafrica ni kutumia nguvu nyingi na akili zero.
Mwanangu simpeleki akasome shule za ajabu kama hizi.
Miaka ya nyuma huko tulikuwa tunapiga tofali za shule kipindi cha likizo ,sio kama adhabu,ilikuwa assignmentJe, huu ni ubunifu au kuwakomoa wazazi? Kinachoendelea katika shule ya Sekondari Mbande ni kitu cha kutizamwa kwa Jicho la kipekee kwa kuwa kina madhara yake na kisipozungumzwa na kutolewa maamuzi na mamlaka kitaleta shida.
Kumeibuka mtindo wa kuwatoza wanafunzi matofali matatu na kuendelea kulingana na makosa ya kiuanafunzi kama vile kuchelewa, kutokusanya kazi au kutokumaliza kazi za darasani. Wakati naambiwa jambo hili na mtoto wangu anaesoma katika shule hiyo nilichukulia kuwa utani. Nilikuja kuamini baada ya kujionea mwenyewe nilipofika shuleni hapo mmoja wa waalimu akimwambia mwanafunzi alete tofali tatu kwa kutokumaliza kazi ya darasani.
Swali langu kwa wanajamii anaetozwa tafali ni mwanafunzi au mzazi? Mwanafunzi atapata wapi pesa kununua tofali?
Mamlaka husika wanalijua hili? Je, wazazi tumeridhia haya?
Je kuna meongozo unaoruhusu adhabu za kishule kwa wanafunzi kulipwa kwa pesa?
Hapa sasa umenipa mwanga kumbe ni Waalimu!, maana nilikua nasoma comments huku nimebaki kinywa wazi, utumwa wa fikra hauwezi kuisha Tanzania halafu ndio tuna ndoto za kufika Dunia ya kwanza,Humu wengi ni walimu, tegemea kupingwa kwa ulichosema. Wewe cha kufanya nenda hapo shuleni au mpigie simu Mwalimu muonye kwahilo alilofanya. Utaona anakuwa mpole na samahani atakupa. Ila mkikaa kimya basi mtajenga nyumba bila kujua
Upo sahihi kabisa,Hivi kazi ya shule ni nini? Kufundisha na kutumia akili au kutumia nguvu kusolve matatizo madogo badala ya kutumia akili?
Alafu utakuta mtu mnalalamika toto lake limemaliza shule lakini halijui nini cha kufanya tofauti na ajira, je kazi ya shule iko wapi hapo?
Huu ni mzunguko usioisha sababu hata walimu walipitia huko hivyo wanaona sawa tu, I wonder why watanzania ni waoga na wajinga kupitiliza.
Huu uzi unaonyesha majority ya akili mbovu za kitumwa za waafrica ni kutumia nguvu nyingi na akili zero.
Mwanangu simpeleki akasome shule za ajabu kama hizi.
Ukimlegeza sana mtoto jiandae kuwa choko baadae....hizo ni Kaz za kawaida sanaWewe lazima una mtindio wa ubongo, jamii kustaarabika ni ngumu sana kama mtu unaona hizi adhabu ni sahihi.