GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe.
Chanzo: EastAfricaTv
Sijui na kwa hili pia GENTAMYCINE nitachukiwa na kuonekana nina Chuki na Mwanasiasa Queen Antoinette wa Kiswahili na Mwambaoni?
Chanzo: EastAfricaTv
Sijui na kwa hili pia GENTAMYCINE nitachukiwa na kuonekana nina Chuki na Mwanasiasa Queen Antoinette wa Kiswahili na Mwambaoni?