Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Daah kama ulikuwepo
 
mkuu unantia machungu nna mmoja hapa kuna kazi niko naye ni majanga matupu. yaani spelling haziungi mwanzo mwisho. sijui hata wanasoma nini huko chuoni.
 
Hamjachelewa mimi nipo, nimesoma Economics miaka 6 nyuma. Niiten kwenye hiyo interview
 
Na hao n wale mliowachukua kutoka kwenye chuo kikubwa[emoji23][emoji23]
Ukute mngeenda vyuo vidogo mngepata ambao angalau zaid ya hao[emoji3]
 
Mtihani wao ulihusu hiki kitu "

reasoning and cognitive skills"​

 
Ha
Ndugu yangu mtoa post, wewe ndio hujui maana ya elimu. Ukiniuliza kwanini, nitafafanua.
 
Uchambuzi wa magazeti ni ishu ya kihabari zaidi, sio la mwanauchumi ilo
 
Unawezaje kuhitimisha kuwa wanafunzi wa vyuo wengi wakati mmewapima wanafunzi wa *chuo*kimoja? kwangu hitimisho lako sio sahihi.
 
Walikua bado hawaujui mtaa, mtaa ukikuchapa hiyo interview ya kitoto huwezi shindwa na bundle unalo.

Pole yao aisee ila kama hayo ndio waliyosomea na wameshindwa kutoa majibu sahihi ni tatizo kubwa hilo.

Lakini sababu nyingine huenda ikawa wenge na ugeni wa kufanyiwa usaili.
 
Unawezaje kuhitimisha kuwa wanafunzi wa vyuo wengi wakati mmewapima wanafunzi wa *chuo*kimoja? kwangu hitimisho lako sio sahihi.
Wala usihangaike na hitimisho lake mkuu, ndivyo walivyo hawa.
Wanawananga sana washindwao.
 

Analytical minds of our beloved ones was deactivated since 2011.
Tupo wengi usisahau na wahesimiwa pia.
 
Mkuu, mbona kwenye interviews za accountancy hawaulizi maswali ya DS au Entrepreneurship ilhali tulisoma chuoni?
Matumizi ya elimu ya chuoni hayaishii kwenye interview peke yake, unaweza kutumia hata kwenye jamii. Kwa mfano hiyo DS uliyotaja, mbona matumizi yake uraiani yako very obvious!
 
Kama level ya hesabu za kazini itakuwa 12 × 12, chuoni itabidi usome 16 × 16 ili uje ufanye kwa urahisi na ufanisi mkubwa. Kusona course ngumu kunarahisisha kazi. Ni sawa na mtu wa form four anaambiwa afanye mtihani wa form two.
 
Huyu injinia anajua why itumike 12mm badala ya 10mm kwa sababu amefundishwa!!

Kutumia kile ulichofundishwa bado siyo 'reasoning'..

Nadhani kufanya zaidi ya ulichofundishwa ndiyo 'reasoning'..

Nakubali kurekebishwa zaidi!!
 
Wasomi hawa hawa wavaa vipensi vya jezi za basketball 🏀🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…