Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Kujua vitu hakuhusiani na kua kichwa darasani, reference nzuri ni usaili wa utumishi wa umma...vipanga wengi hupigwa chini
 
Kwa ulicho kieleza hapa mimi binafsi sijaona hao madogo walipo zingua.....kama kweli gazeti lake lina habari mbili zinahusu uchumi ulitaka andike hoja kumi azitoe wapi?
 
Kulikuwa na kongamano la coca cola, wanafunzi wa vyuo vikuu vya E. Afrika wakati ule nchi tatu tu, ilikuwa aibu kwa Tz.
 
Kama magazeti yamewashinda kuchambua, data ndo wataweza?

Wewe nae huna reasoning and cognitive skills
Data wataweza kuchambua Kama wwalifundishwa chuo, swali ulilowapa lilifaa waandishi wa habari maana wapo waandishi wa michezo, siasa uchumi etc
 
Kwenye hivyo vilala hoi havikosi vilivyosmart na vilivyobarikiwa
Kaka mimi mimi nilishindwa kabisa. Najua vipo vilivyobarikiwa na smart ila siyo smart sana, haiondoi ulala hoi, nilishindwa kabisa.

Mimi ningefikiria kutoka na denti kama ningefundisha let's say Feza, IST, Marian girls n.k! Mkuu usiwe zoa zao kiasi hicho
 
Mkuu, labda nikukumbushe jambo moja tu ya kwamba, hakuna interview ya siku moja inayoweza kukupa mfanyakazi bora, na hata CIA wanalijua hilo ndio maana wanafanya screening ya muda mrefu.

Kazi is not all about giving correct answers to few randomly chosen academic questions. Kazini kuna suala zima la kuishi na wafanyakazi wenzio, punctuality, interactions na mambo lukuki.

All in all, wakati ninasoma IAA watu wa computer science walilazimishwa kusomea accountancy semister ya kwanza, what for?

Mifumo yetu ya elimu bado ni hovyo sana.
Accounting for lawyers ni kozi inayofundishwa law school of Tanzania lengo ni kumuandaa na hesabu ndogondogo za offi
 
Accounting for lawyers ni kozi inayofundishwa law school of Tanzania lengo ni kumuandaa na hesabu ndogondogo za offi
Mkuu, hesabu ndogo ndogo za ofisini ni simple arithmetics ambazo ni BODMAS, unless otherwise unipe elimu
 
Mifumo ya elimu yetu ndio inayowafanya hao vijana fresh kuonekana hivyo walivyo,lakini wengi wao wakibahatika kupata ajira baada ya muda mfupi wanakua waelewa na hatimae wanakua wazoefu .

Hata aliyeleta hii mada hivyo alivyo ni kutokana na uzoefu alioupata kazini na kama amesomea mifumo hii ya Tanzania alikua hivyohivyo kama alivyowaona hao vijana wapya
 
Mkuu, kwani reasoning sio sehemu ya utendaji? Mtu anaweza kuwa mtendanji mzuri akiwa na poor reasoning?
Yes! Reasoning haihusiani na utendaji kwa maeneo flani! Mfano engineer vs fundi, fundi yeye anajua jinsi/how ya kugonga nyundo wakati engineer anajua "why" fundi anagonga nyundo na agonge ngapi na kwa nini!

Fundi hawezi kukwambia kwanini nangonga nyundo 5 na sio 8!

Mfano mwingine engineer anajua kwanini hapa tuweke nondo za 12mm wakati fundi ambaye ndiye mtendaji/mfungaji hajui kwanini zimewekwa 12mm na sio 10mm au 20mm!

Thats what we call reasoning! Na kwa mtazamo wangu hamna kitu cha muhumi kama reasoning kazini!
 
Graduates wengi wamekuwa hamnazo!! Inabidi serikali iingilie kati la sivyo miaka ijayo tutakuwa na bunge la hovyo sana!!
Pumbavu aliyekwambia bungeni wanaenda graduates tuu nani? Angalia Msukuma na kibajaji, angalau wanaongea kuliko hao wasomi hata kama wanaongea pumba.
 
Mtu unamuuliza sasa wewe imekuje umepata habari mbili tu anaanza mara hoo, mageti langu lilikua na habari za siasa nyingi yaani bla bla tu hamna kitu. Mtu unamuuliza hii habari yaserikali imetoa fedha za kujanga madarasa kwa kutumia force account hii si monetary policy hihii? au sio habari za ki uchumi anaanza kumumunya maneno.
Hao watakuwa uvccm😅😅
 
Pumbavu aliyekwambia bungeni wanaenda graduates tuu nani? Angalia Msukuma na kibajaji, angalau wanaongea kuliko hao wasomi hata kama wanaongea pumba.
[emoji849][emoji849][emoji849], usitukane sasa

90% ni graduates wa chuo kiongozi!

Kama unabisha nitajia wengine angalau kumi tu wasiofika university!
 
Tatizo ni kuanzia shule za misingi.

Siku hizi watu wanafanya biashara ili wanafunzi waongezeke.
Wanafunzi wanakaririshwa mitihani, hawaruhusiwi kufikiri nje ya wanachofundishwa. Ni wachache mno ambao wanajiongeza.

Mfumo huo ndo unazalisha walimu wabovu, ambao nao wanaendeleza kile kile.

Mwisho wa siku Siasa zimeingizwa kwenye elimu.
 
Back
Top Bottom