Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Aise hali sio poa kabisa.

Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto

Ipo hivi juzi juzi hapo kulikua kunaitajika new staff. Pendekezo lilikuza hawa staff wapya wawe graduate wapya (Walio maliza mwaka huu) au mwaka jana lengo lilikua kuwapata fresh from school ile wawe trained hapa hapa wasije kuharibu kazi.

Tuka peleka pendekezo chuo kimoja kikubwa tu hapa mjini. Tunaomba Top Performer kenye course moja inayohusiana na Mambo ya Economics, Econometrics na Actuary Analysis.

Tukapewa list na namba zao za simu. Baadaya Hapo Vijana wakatafutwa wakapewa maelezo, Ofisi zilipo na siku yakuja kwa maelezo zaidi. moja ya japo waliopewa ni kwamba saa nne kamili wawe tayari wameshafika tayari.

Siku ya tukio sasa (Tulipata vijana sita). Hapa ndio vituko vilianza (Sijui walijua wanakuja kufanya interview) tukawachukua wakapelekwa meeting room, tukawapa magazeti haya haya yakiswahili sijui nipashe, uhuru mwananchi, raia mwena, mwana sport etc. wakaambiwa kwenye hayo magazeti wachambue habari zinazohusu economy (Mfano labda kwenye gazeti wameandika Serikali imezindua daraja la Wami. Watuambie hii kiuchumi ni nini na ina implication gani kwenye Macreconomic).

Pia condition ilikua moja wapo ikiwa habari au concept itajirudia kwa watu watatu hiyo concept au habari inakua deducted kwa watu wote (Haihesabiki). Tukawapa na mtu wa kuwasimamia pia na wifi (Free wifi speed ilipunguzwa, network iwe nzito <ili tuangalie watapoteza muda kwenye network au wata concentrate kwenye task> )

Muda Ukaenda ukaisha. Kila mtu aka submit copy ya alichopata. Wakaja kwenye panel ku present findings zao. Aise Hali ni mbaya mtu masaa karibia 6 magezeti karibu 8 amepata habari 2 za kiuchumi, mwingine 4, mmoja alijitutumia akapata 7.

Mtu unamuuliza sasa wewe imekuje umepata habari mbili tu anaanza mara hoo, mageti langu lilikua na habari za siasa nyingi yaani bla bla tu hamna kitu. Mtu unamuuliza hii habari yaserikali imetoa fedha za kujanga madarasa kwa kutumia force account hii si monetary policy hihii?? au sio habari za ki uchumi anaanza kumumunya maneno

Kitu kilicho nishagaza ni mtu unamwambia tupe twakimu za watoto chini ya miaka 5 kwa sasa hapa nchi. Mtua anaingia google jibu la kwanza au lapili litakalo tokea ndio analitaja

Nikawa nawaza sasa kama hawa ndio top performer sijui best students hao wengine itakuaje. Imebidi tuchukue tu baadhi sasa tutafanyaje

Lkn kiujumla baadhi ya wasomi wengi hama kitu

Kuna kijana alikuja saa nne Karibia na robo nikesema hapa kazi ipo
Kuwa na GPA kubwa haimaanishi mwanafunzi alikuwa vizuri darasani. wengine huwa wanapewa tu hizo degree. Wajuzi wa mambo wanasema degree za chup....
 
Mkuu, wakati mwingine upi ilhali mtu anafanya kazi repetitive miaka nenda rudi? Mimi nilikuwa mhasibu kampuni moja ipo Kyela, nilikuwa ninakusanya pesa, nazipeleka bank, ninaandaa receipts, natoa pesa za matumizi ofisini mwaka mzima kazi ni hizo hizo kitu ambacho graduate wa form six ukimuelekeza anaweza kufanya pia mpaka nikawa ninajiuliza kwanini tulifundishwa mambo magumu kule chuo ilhali huko kazini vitu ni simple sana.
Hawakujua kuwa ungekuwa "mtunza fedha" huko Kyela. Hayo ndiyo yafanywayo PwC?
 
Mnapojadili hilo pia mjadili... Kwanini mtoto anasoma kidato cha kwanza mpaka cha Nne miaka minne hiyo... Alafu mtihani wa somo anafanya siku moja... Tena sio siku ni masaa matatu... Na maswali yanatoka kuanzia kuleeee kidato cha 1..
 
DAAAH!LEO HII GRADUATES WAMESHAKUWA SHIMO LA TAKA KILA SEHEMU NIKULAUMIWA WAO,KWA NINI USILAUMIWE MFUMO WA ELIMU NA KUACHA KUWAONEA HAO WAHITIMU WA VYUO?
 
Mnapojadili hilo pia mjadili... Kwanini mtoto anasoma kidato cha kwanza mpaka cha Nne miaka minne hiyo... Alafu mtihani wa somo anafanya siku moja... Tena sio siku ni masaa matatu... Na maswali yanatoka kuanzia kuleeee kidato cha 1..
Anayejua anajua. Bahati mbaya ziko chache sana. Sana.
 
tukawachukua wakapelekwa meeting room, tukawapa magazeti haya haya ya Kiswahili sijui Nipashe, Uhuru Mwananchi, Raia Mwena, MwanaSpoti etc. wakaambiwa kwenye hayo magazeti wachambue habari zinazohusu economy (Mfano labda kwenye gazeti wameandika Serikali imezindua daraja la Wami. Watuambie hii kiuchumi ni nini na ina implication gani kwenye Macreconomic).
Kwa hiyo mkawapa vijana gazeti la MwanaSpoti wachambue habari zinazohusu economy!!🤔🤣🤣🤣
 
Nyege bhana ziache,yaan mtu unasahau kila kitu,wakat ni hatar unaweza poteza kazi,jaman hawa watoto acha tu

Sasa dogo anaweza mpaka kukuletea zawadi ya biscuit mwalimu wake,sasa utafanyaje!
Hivi walimu mnaofundisha shule za serikali mnadindisha kabisa na kuviwakia tamaa visichana, ilhali hivyo visichana ni vilala hoi? Unapataje hisia kwa mlala hoi?

Aisee watu ni mazoa zoa hatari. Mafisi!
 
Nyege bhana ziache,yaan mtu unasahau kila kitu,wakat ni hatar unaweza poteza kazi,jaman hawa watoto acha tu

Sasa dogo anaweza mpaka kukuletea zawadi ya biscuit mwalimu wake,sasa utafanyaje!
"Sasa dogo anaweza mpaka kukuletea zawadi ya biscuit mwalimu wake,sasa utafanyaje?" kwani kakuambia anakutaka? Zawadi ni jambo la kawaida mno tofauti na wewe unavyoliweka.
 
Hivi walimu mnaofundisha shule za serikali mnadindisha kabisa na kuviwakia tamaa visichana, ilhali hivyo visichana ni vilala hoi? Unapataje hisia kwa mlala hoi?

Aisee watu ni mazoa zoa hatari. Mafisi!
Kwenye hivyo vilala hoi havikosi vilivyosmart na vilivyobarikiwa
 
Back
Top Bottom