Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Kwa kwel kuna baadhi ya kazi hapa dunian kwa uwezo wangu tu ambao huwa najiona nao,nilijiona sitaziweza nikaamua nikawe Mwalimu tu

Akili za kuweka vitu kichwan ninazo ila inshu za kuvifanyia kazi hivyo vitu hapo ndo changamoto ndo maana nikaamua kuingia taaluma nyepesi
 
Sasa waajiri huwezi kuwapangia unachotaka mkuu! Wao ndio wenye dhamana na wanajua ni interview ipi inafaa kwa ajili ya kazi yao.
Sasa wewe unawapangia interview tena!
Mkuu sijapanga interview iwe ya aina gani nacho uliza hapa ni uhalali wa kutumia kigezo kimoja kufanya generalization ya dhana nzima ya kitu wakati sio sahihi

Wengine wanaweka interview za kijinga lengo sio kupata fresh bali kulinda vibarua vyao
 
Mkuu, labda nikukumbushe jambo moja tu ya kwamba, hakuna interview ya siku moja inayoweza kukupa mfanyakazi bora, na hata CIA wanalijua hilo ndio maana wanafanya screening ya muda mrefu...

Mfano kwenye written interview ukipata chini ya pass mark inakuaje?

Yani mifumo yetu ya shule inabidi aangaliwe upya
 
😀😀😀

Sasa Kama mtu anafikiri Siasa sio uchumi huoni Hilo ni tatizo.
Na watu wengi Tanzania ndio wapo hivyo.
 
Unakuta GPA kubwa kinoma,alipataje,sijui ni kumeza madensa au nini?

Hapo ponepone ni kuingia serikalini,kwenye private sectors ni vigumu kutoboa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Shida ni mifumo mibovu ya kuwaandaa wanafunzi.

Wanafunzi wanafundishwa jinsi ya kujibu mtihani wa necta, jinsi ya kuremba mwandiko, unategemea nini hapo,

Vyuoni napo hamna kitu walimu wao ndio wamepita mifumo hiyohiyo wanayofundishia wanafunzi wao.

Jamani mnapaswa kutambua elimu nzuri ni ghali,

Uwekezaji wa majengo na kuita vyuo vikuu ni upotevu wa pesa.

Natamani kingejengwa chuo cha engineering chenye facilities za kisasa na wakufunzi waletwe hata wa nje, sio hawa wetu wa kupigana vipapai labda tungezalisha watu wenye maono. Ada iwe hata milion 10 muda mwingine bora upate chache nzuri kuliko nyingi mbovu.
 
Muda mwingine tuwe wa kweli na siyo kuangalia upande mmoja, hawa wajiri wetu kuna muda hawaandai usaili ambao unaendana kile kijana alichofundishwa akiwa darasa, japo wanatambua mfumo wa elimu yetu.

Mfano, kuna kijana alikwenda kufanya usaili kwenye moja ya hotel na akiwa kama receptionist tu, ila usaili wake aliletewa chips zenye pilipili na juice ya moto, aliposhindwa ule usaili, wakamwambia lengo la usaili ni kuona kama angekuwa transparency kufichua dosari ile.

Hapa unajiuliza kweli hawa wajiri wapo Radhi kuajiri vijana au nia yao ni kufanya ili wafahamike walifanya usaili fulani. Kuna muda hawa wajiri wetu nao waendane na mfumo wa elimu wa sasa, na watambue mfumo wa elimu wa sasa una mpungufu yake, vijana hawa wanafundishika vizuri tu huko makazini.
 
Kwa kwel kuna baadhi ya kazi hapa dunian kwa uwezo wangu tu ambao huwa najiona nao,nilijiona sitaziweza nikaamua nikawe Mwalimu tu

Akili za kuweka vitu kichwan ninazo ila inshu za kuvifanyia kazi hivyo vitu hapo ndo changamoto ndo maana nikaamua kuingia taaluma nyepesi
Usiwale wanafunzi huko

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
For E-commerce & database designing skills, ndio maana mnafundishwa Tally ukiacha Ms Excell
It's a wastage of time. Kama unaandaa mtaalam wa computer mfundishe aijue computer nje ndani na kama unaandaa mhasibu mfunze aujue uhasibu nje ndani na sio computer scientist unamjaza upuuzi wa debit na credit.

Mtaalam wa computer akitaka ku design system ya uhasibu basi atashirikiana na mhasibu ambaye yupo fully knowledgeable katika taaluma yake.
 
Kama unaandaa mtaalam wa computer mfundishe aijue computer nje ndani na kama unaandaa mhasibu mfunze aujue uhasibu nje ndani na sio computer scientist unamjaza upuuzi wa debit na credit...
Mkianza kudhalauliwa lawama mnazipeleka kwa walimu, useless kabisa wanaenda na dunia inavyotaka sio nyinyi mnavyotaka hii mitaala inafuata utaratibu wa Kimataifa sio utaratibu wa kwenu Kibondemaji,
 
Aise hali sio poa kabisa.

Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto...
Ni kweli usemalo mzee,
Asilimia kubwa saana yawahitimu hawana uwezo wa kuajirika..

Nafikiri nikutokana na mfumo wetu wa elimu hauko vzuri.. is much based in content rather than competency..


Kiongozi mkihitaji mtu mwingine wa uchumi ni wahishie PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkianza kudhalauliwa lawama mnazipeleka kwa walimu, useless kabisa wanaenda na dunia inavyotaka sio nyinyi mnavyotaka hii mitaala inafuata utaratibu wa Kimataifa sio utaratibu wa kwenu Kibondemaji,
Kwa hiyo, kila jambo dunia ikitaka na wewe unaenda tu? Western Counties wanataka wanaume waoane na wewe unakubali tu? Mitaala ya first world countries unaileta third world huku ambapo hata kujenga vyoo vya shule vya kutosha imetushinda, are you serious?
 
Back
Top Bottom