Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Yaan jamaa anaona kuchambua gazeti ndio usomi ulio tukuka kumbe propaganda tu
 
Mkuu, first impression kwenye kujibu few random questions? Mkuu, unataka kuniaminisha kwamba aliyefaulu interview ilhali alisoma PCM A level anaweza kuwa na contents nyingi kichwani kumzidi yule aliyefeli interview hiyo hiyo na alisoma ECA?
Ushawahi kwenda kwenye aptitude test?

Yale maswali ya kipuuzi kuna vichwa wanachemka.

Ndo maana nakwambia, mara nyingi first impression haidanganyi. Inakuwa sawa kwa zaidi ya 70%.

Ukienda kwenye interview unaweza jibu maswali yote kwa ufasaha na ukanyimwa kazi vile vile.
 
Mkuu umewaonea tu wewe waangalie walimu wao ambao wako kwenye siasa na wengine mawazili kabisa wanashindwa na kishimba na msukuma
 
Msomi hajui kuandika Barua ya kikazi. Wajinga waache wasote mtaani.
 
Me naona nyie waajiri ndo mna matatizo hapa. Kama hammna mpango wa kuwapa watoto wa watu kazi acheni kuwasumbua.
 
TAIFA la VIJANA WAJINGA SANA
 
Mkuu umewaonea tu wewe waangalie walimu wao ambao wako kwenye siasa na wengine mawazili kabisa wanashindwa na kishimba na msukuma
Ni kweli mkuu,vilaza wapo kila mahali.
Kununua mashangingi wakati wananchi wana shida ya maji pia ni ukilaza
 
Kumbe hata wewe ni kilaza tu! Huyo dogo jibu alilokupa was the best answer!

Hivi unajua process za kua Judge??

Kuna wakati Judge anaweza teuliwa na mamlaka za juu bila hata kuangalia uwezo wa Judge hili suala nina mfano wake,kuna kipindi flan awamu flana iliwahi mteuwa Judge hakuwa hata na Degree ndo akaanza kusoma Open University! Hata Lissu kuna kipindi flan aliwahi piga sana kelele kwamba kuna baadhi ya Judges uwezo wao ni mdogo sana na hawajui mambo!

Sasa unauliza mtu eti process the kua Judge ni zipi??
 

Mimi sijui mambo ya sheria wala wanasoma nini. Hilo jibu ulilonipa ndo alitakiwa kunipa lkn kama umeona ni sawa wanafunzi wa mwaka wa nne hata hajui ni process gani za kuwa jaji ni sawa, okay safi
 
Na nyinyi hamkuwaita Dodoma [emoji23]?Maana nchi hii na mifumo ya uajiri ni shida. Anyway hongereni kwa kuwafikiria madogo.
 
Tatizo liko kwa wapishi na si chakula. Wanaowaandaa chuoni nao ni worse. Tena mngewapa wao wengi wangefeli vibaya sana
 
All in all, wakati ninasoma IAA watu wa computer science walilazimishwa kusomea accountancy semister ya kwanza, what for?.

Umuhimu wa yeye kupitia hii kozi ni walau apate mwanga mathalani unatengeneza mfumo wa mikopo, usimamizi wa fedha nk inapunguza uhusishwaji wa kiwango kikubwa wa watu wa fani hizo .. ingawa watahusika kwa namna moja au nyingine.. changamoto kubwa ni wakati gani wanasoma.. mfano mfumo unatengeneza mwaka wa tatu kisha kozi unasoma mwaka wa kwanza..
 
Angalia asije mmoja wapo akaja kuwa bosi wako miaka ya mbele. Dunia ina maajabu.
 
Mimi kama Mchumi nimesoma huu Uzi kwa makini sana,na kweli mtoa mada kampuni yanu ilitoa usahili mzuri tena mzuri sana kwa Wachumi hao-na hizo ndio kazi halisi za Wachumi kufanya uchambuzi wa kiuchumi.
 
Mimi sijui mambo ya sheria wala wanasoma nini. Hilo jibu ulilonipa ndo alitakiwa kunipa lkn kama umeona ni sawa wanafunzi wa mwaka wa nne hata hajui ni process gani za kuwa jaji ni sawa, okay safi
Mnapoita watu kwenye Usaili nenndeni na maswali ya wakati uliopo na sio kutega watu na maswali yakihuni! Niliwahi fanya Usaili enzi zile inaitwa PPF nafasi ya Operations Officer! Nilishangaa sana maswali yao!

1. Juice kwa kiswahili inaitwaje?
2. Nchi ndogo kabisa duniani
3. Nchi ya kwanza duniani
4. Mwendesha mashitaka wa ICC
5. Mkurugenzu wa tume ya taifa ya uchaguzi
6. Msajiri wa vyama vya siasa!

Haya maswali hata kama umetoka jana Chuo kikuu huwezi kuyajibu! Labda kama uwe mtu wa siasa sana chuoni! Sasa maswali kama haya operations office yanamsaidia nini??

Pia niliwahi kwenda fanya interview moja ya balozi za hapa Tanzania, nafasi ya Financial Analysist waliweka magazeti ya kila aina boarding room, sasa wengi wa watu wakawa wanasoma magazeti ya udaku! Akaja Dada mmoja akawa anaandika majina! Mwisho wa siku zikatolewa marks,wale waliokua busy na magazeti ya Udaku,wakapigwa chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…