Wanahabari wetu bure Kabisa nilitegemea leo kuamkia kwenye Offce ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu kauli ya Chatanda Kimya

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
 
Screenshot_20260516-003803~2.png
 
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
Waandishi tupo, bado tupo tupo, tunajitafakari, huku tukisubiria kuitwa, ndipo tujisogeze kwa kwa msajili, waandishi wa habari hawavamii ofisi za watu kama wanakwenda msalani, lazima tufuate utaratibu, hivyo vuta vuta subra, tutalifuatilia hili baada ya ofisi ya msajili kujipanga kutuita, ili tukiitwa kwa msajili, ule utaratibu wetu wa kihabari uwe umetayarishwa.

P
 
Sawa mkuu
 
Mwanahabari kama balile?
 
Wanahabari walioshindwa kuripoti risasi zilizokua zinalia jirani na milango yao la wako busy kuchambua idadi ya makombora ya US na Iran waliyokua wanarushiana kila siku maelfu ya miles?

Mwenzao Master Tindwa aliuwawa na risasi na vibaka wa policcm walishindwa kufanya hata tribute ya maana achilia mbali hata kutaja chanzo cha kifo chake.
 
Waandishi tupo, bado tupo tupo, tunajitafakari, huku tukisubiria kuitwa, ndipo tujisogeze kwa kwa msajili, waandishi wa habari hawavamii ofisi za watu kama wanakwenda msalani, lazima tufuate utaratibu, hivyo vuta vuta subra, tutalifuatilia hili baada ya ofisi ya msajili kujipanga kutuita, ili tukiitwa kwa msajili, ule utaratibu wetu wa kihabari uwe umetayarishwa.

P
Hayo maneno "......huku tukisubiria kuitwa, ndipo tujengee....." Yana uzito mkubwa sana kwenye tasnia yenu ya habari. Maana yake "mkiitwa" kuna uwezekano mkubwa pia wa kuondoka na "bahasha ya kaki". Ni tofauti kabisa na ule uandishi wa habari wa kujipeleka mwenyewe eneo la tukio.
 
Waandishi tupo, bado tupo tupo, tunajitafakari, huku tukisubiria kuitwa, ndipo tujisogeze kwa kwa msajili, waandishi wa habari hawavamii ofisi za watu kama wanakwenda msalani, lazima tufuate utaratibu, hivyo vuta vuta subra, tutalifuatilia hili baada ya ofisi ya msajili kujipanga kutuita, ili tukiitwa kwa msajili, ule utaratibu wetu wa kihabari uwe umetayarishwa.

P
Muitwe kwenda kupokea bahasha na kupewa script ya maswali ya kuuliza?
 
Kila kazi ina sheria zake, taratibu na kanuni, media kupatiwa logistic support, kupewa script ni sehemu ya strategic communications.

P
 
Back
Top Bottom