thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
kwani kuna wanaharakati au makuwadi tu wa mabwenyenye ya mgharibi Tanzania?Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
Tulia gentleman, wewe endelea na ufisadi na rushwa tu.kwani kuna wanaharakati au makuwadi tu wa mabwenyenye ya mgharibi Tanzania?
Mabwenyenye useless?kwani kuna wanaharakati au makuwadi tu wa mabwenyenye ya mgharibi Tanzania?
Kuna kitu hukijui kwenye haya mamboMara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
ni useless sana aise dah!Mabwenyenye useless?
wanaharakati kuendekeza porojo, uzushi na kubebwa ufala wa kifikra na vyama vya siasa hasa vilivyopoteza uelekeo ni kitu nonsense sana gentleman katika sanyansi ya siasa.Tulia gentleman, wewe endelea na ufisadi na rushwa tu.
Nonsense kabisani useless sana aise dah!
Naomba iwe AI. Wataalamu wa mbo ya AI mnasemaje hapo?! Ila limekaa kufa kufa tu. Shetani kabisa lingalie lilivyoMara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
Visiwani wahajambo?shida ni kutaka kuwahi kuchukua credit mapema,
kama kujifia atajifia tu kama alivyo binadamu mwengine.
Au waseme nia yao kuishitua mamlaka ili ijulikane rais yupo eda au lah
Visiwani wahajambo?
Siungi mkono umbeyasalama sana, tumekuja hapa dasilamu kusikiliza uvumi wa sasa , naimani hauungi mkono
kwa hilo nakupogeza sana.Siungi mkono umbeya
Huo sio uvumi ni umbeya
Na huwezi kunikuta kwenye nyuzi za hivyo mie hua napita kama naaga maiti sipendi issue za namna hii
Ni kama ya yule mpenzi wangu wangu wa ukerewe ilivyosemekana wame mu anko T kumbe wala ba mtu akaja kujitokeza mzima