The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Ndiyo maana mimi nasemaga baadhi ya wanaharakati kwenye hii nchi wanafanya wanaharakati wote waonekane uchwara ,hata humu JF wamejaa mno na utawaona watakuja kukupinga.Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
Mwanaharakati unatakiwa uwe smart with logical reasoning ,kuchuja na kucomfirm taarifa