Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.

Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.

Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.

View attachment 3690102
Shida haiko hapo unaposema.

We hushangai kwanini taarifa hizo zinapokelewa kwa furaha na wananchi walio wengi?

Hilo ndo la kujiuliza, mara zote unakuta bado watu wanatamani ingekuwa kweli.

That’s where the problem lies.
 
Wewe tena 😅
Hua nakuona unataka kusaliti kile chama chetu cha haki bila kusimama upande naona bega moja hua linashuka nakuangalia nasema hiiiiiii (magu voice )
cdm tumeisupport kwa muda mrefu katika umri mdogo sana, sasa nyakati hizi wakileta ngonjera ni wao ndo wanakua wasaliti wa kwanza.

huyu bi mkubwa alipofika hapa wala haiihitaji nguvu kubwa kuiua ccm, na mimi ndoto yangu ilikua kumuona anapata kiti 2025 😁 hiyo ccm ataibonda kwa mikono yake
 
Shida ya wanaharakati wanaongozwa na hisia kuliko uhalisia. Na wanataka kulazimisha watu wote waingie kwenye mkumbo. Nilishaga watahadhirisha Kuna mambo ni very petty achaneni nayo. Sasa Samiah kutoonekana siku tatu amefariki. Na wanarudia makosa Kila kama yule Sarungi Huwa hajifunzi.
 
cdm tumeisupport kwa muda mrefu katika umri mdogo sana, sasa nyakati hizi wakileta ngonjera ni wao ndo wanakua wasaliti wa kwanza.
Najua nachokiongea Lax
huyu bi mkubwa alipofika hapa wala haiihitaji nguvu kubwa kuiua ccm, na mimi ndoto yangu ilikua kumuona anapata kiti 2025 😁 hiyo ccm ataibonda kwa mikono yake
Ngoja tuone mpaka mwisho
 
Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.

Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.

Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.

View attachment 3690102
Hao wanaharakati waopiga ramli za kifo, kama wanataka sana mtu afe kwa nini wanasubiri afe kwa ugonjwa? Wanategea kazi ya kumuondoa?
 
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia
Kwaharibia akina nani, wanaharakati au hao wanaozipokea na kuzisambaza?

Kwanza kabla ya kusema hayo ungejiuliza hao wanaotengenezewa taarifa kama hizo wamo kwenye hali gani!

Hapo mtaani kwako taarifa za "thegreat1510' zikiwa zinasambazwa mara kwa mara hapo mtaani kuhusu hali kama hiyo wanayotangaziwa hao unaofikiri wewe kuwa kama miungu, ungejisikiaje hasa?

Na hadi utangaziwe hali ya namna hiyo, bila shaka utajuwa ni kiasi gani hao jamaa zako hapo mtaani wanavyothamini uwepo wako hapo.
 
Na hizo tetesi kila zikija, lazima kuwepo na jitihada za kujionyesha kwamba wako hai hawana shida.

Ndo utajiuliza mwenye tatizo haswa ni nani.
ki kawaida ni jukumu la serikali kuondoa taharuki.

wanaoitaka serikali ife wala haina haja ya kuwahi kushangilia alafu mu anatokea kesho yake.

kama kavuta atatangazwa tu , kafa magu hapa katangazwa sembuse hawa wengine
 
chama katika hali ya sana ni changamoto mkuu, hapo ni serikali katili kukutana nayo ni jambo la sekunde.
Usiogope ukipotezwa nitaandika bango kubwa likisomeka Free Lax

mimi pia nikipotezwa utafanya hivyo
free ShesRise_1
mi hua napambana nao individual naona inafaufanisi zaidi mpaka sasa
Au sio basi sawa
Ewe mtu muoga muoga
 
Usiogope ukipotezwa nitaandika bango kubwa likisomeka Free Lax

mimi pia nikipotezwa utafanya hivyo
free ShesRise_1
amna serikali wala haitishi namna hiyo ukii approach kitaalamu.
mimi napiga hizo mambo mdogomdogo idara kwa idara na inapiga kazi, tatizo watu wanataka top down, kuna uzi leo watu wa goba wanasema hawajapata maji wiki tatu, hawaandamani hata hapo ofisi ya kata ila wanaweza shawishika kuandamana wamtoe rais, hapo tu tutaanza free free , kibaha waliandamana/mgomo miezi 2 au 3 nyuma kuhusu maji , wakapelekewa gari gari la kuchimba na halmashauri + mfadhili

Au sio basi sawa
Ewe mtu muoga muoga
Seran wasiwasi ndo akili 😁
 
shida ni kutaka kuwahi kuchukua credit mapema,

kama kujifia atajifia tu kama alivyo binadamu mwengine.

Au waseme nia yao kuishitua mamlaka ili ijulikane rais yupo eda au lah
On thecontrary.

Ngoja nikueleze jambo pengine utaanza kuona mwanga na haya yote yanayoendelea. Vinginevyo utanipa usumbufu mkubwa wa kueleza kirefu zaidi ya hivi nitakavyoeleza hapa.
Ni hivi: Tambua kwamba kuna waTanzania wengi tu wametekwa, kuuwawa au hawajulikani walipo kwa sababu tu ya "walitukana. walitumia maneno yasiyo na staha, n.k. kuhusu hawa msiotaka watangaziwe hayo hata kama ni ya uzushi.

Sasa naomba unieleze hapa mwenyewe; kama maneno ya vijana tu kama akina Mdude Nyagali yanawanyima raha mioyoni mwao kiasi cha kuwapoteza; haya ya "taarifa za uzushi" (kama mnavyopenda kuziita, inawaacha wakiwa na hali gani hao wahusika?

Hata kama hawajafa, au kupata hayo majanga wanayozushiwa, jiulize hali zao kiakili zitakuwa vipi? Haya siyo mateso ya kutisha kwa watu ambao wanapenda kuabudiwa kama miungu?
Na hata ukiachana na hali hiyo ngumu wanayokutana nayo kiakili, wewe unadhani watakuwa na utulivu gani dhidi ya hayo wanayotangaziwa kwamba yataendelea kuwa "uzushi" kila mara?

Tuliambiwa humu JF "Magufuli alikuwa anachapa kazi badala ya kuzurura Kariakoo"!

Kwa watu wa aina hii ambao mnaona shida juu ya taarifa, ziwe za uzushi au kweli, utaanzia wapi kuwakingia kifua watu wa aina hii.

Acha waTanzania waburudike, hata kama taarifa ni za uzushi zinapowahusu watu waovu kama hawa.

Sioni sababu yoyote ya mtu mwenye kujitambua kama wewe kulalamikia hizi taarifa, hata kama ni za uzushi. Naomba ziongezeke mara dufu, na siku moja itakuwepo ya uhakika.
 
amna serikali wala haitishi namna hiyo ukii approach kitaalamu.
mimi napiga hizo mambo mdogomdogo idara kwa idara na inapiga kazi, tatizo watu wanataka top down, kuna uzi leo watu wa goba wanasema hawajapata maji wiki tatu, hawaandamani hata hapo ofisi ya kata ila wanaweza shawishika kuandamana wamtoe rais, hapo tu tutaanza free free , kibaha waliandamana/mgomo miezi 2 au 3 nyuma kuhusu maji , wakapelekewa gari gari la kuchimba na halmashauri + mfadhili
Kumbe basi sawa
Seran wasiwasi ndo akili 😁
Heh ama kweli binadamu ni watu 🙌🏼🙌🏼
 
Back
Top Bottom