Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Wadada wa Kinigeria, Kenya, Uganda, South Africa, Zimbabwe huenda sana Znz kipindi cha High Season kujiuza, tunawajua vema na utapeli wao kwa Wazungu, soko likiwa gumu huamia mitaani,

Hebu wasitutibue sie, wapigwe blacklist hao Makahaba na Matapeli wamechafua sana sekta yetu ya Utalii sasa mwisho wao umefika,
Wamekoroga Sumu wakaionja.
 
Huu mjadala ningeomba ufungwe wabaki huko kwao na midevu yao washenzi kabIsa kwanza huyo Mbakaji angemwagia ndani kabisa
 
Zamani wanaigeria walikuwa wanaupata visa on arrival baadae huo utararibu ukatolewa ambapo unatakiwa kuomba visa uchunguzwe record zako ndio upate visa. Naona baada ya kuingia madalali wa ku process visa Inaoneka watu wanapewa visa ovyo ovyo
 
Mjifunze kuwa wazalendo na nchi yenu.uzalendo ni kutetea maslahi na ustawi Wa nchi yako dhidi ya mataifa mengine na si kuwa Chawa Wa Chama tawala na viongozi walio madarakani
 
Ubakaji wa mchongo
Kubaka ni kumlazimisha mwanamke kufanya ngono bila ridhaa yake au kufanya ngono na msichana wa chini ya umri wa miaka 18 kwa ridhaa yake au bila ridhaa yake au kufanya ngono na kichaa au mlevi.
 
Kubaka ni kumlazimisha mwanamke kufanya ngono bila ridhaa yake au kufanya ngono na msichana wa chini ya umri wa miaka 18 kwa ridhaa yake au bila ridhaa yake au kufanya ngono na kichaa au mlevi.
One side of the story, je umesoma upande mwingine wa hiyo hoteli
 
Wale ni matapeli. Wezi so hatuwezi waamin hata kama wangekuwa na nn.
Wapige kelele tu ila Tanzania ni sehemu salama sana kuishi na kuganya uwekezaji kuliko huko kwao
 
Hapo ndio namkumbuka JPM kichaa wetu..naamini angevunja diplomatic ties na hao mbwa na kupiga marufuku wanaijeria kuingia nchini. Sisi hatuna shida na hao mbwa waliokomaa sura za magimbi. Wao ndio wanajileta kwetu, mtanzania akatafute nini kwao hao mbwa.
 
Yaani uvuke mataifa yote hayo..uje! Kumtapeli Mtanzania.. khaaa
 


Kwa kweli wafanye huo uzalendo faster kila mtu kwa namna yake
 
Aaah pale wapopo wanapokutana na wabongo. Wote wajanja. Wakajaribu sehemu nyingine sio bongo hao tunawapa dr kumbuka, mwijaku, Juma lokole, wakisaidiana na Dida wanawatosha uzuri siku hizi google intranslate automatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…