Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Muulize huyo Graduate anauvumilivu wa kuburuzwa kama Ng'ombe...???
Ana uthubutu wakukaa maporini (mpakani) kwa kushindia mkate na Maji.
Wasilete Graduate na mambo ya maisha na kujitoa kwa elimu zao za kuunga na mikopo ya kununula mihogo na kugongea malaya.
Ni mpuuzi mmoja tuu anae weza kuongea Nerg kwenye Jesh
 
Wacha kutetea ushenzi wewe hii ni tabia ya Tanzania ngono ndio kipaumbele hata maofini ni mchezo huu umeshamiri kwa hiyo usiseme majeshi yote kuwa na nyenge hahukupi ruhusa kubaka watoto chukua sabuni piga punyeto
Acha ushamba na kukurupuka.
 
Acheni ubakaji,kama unampenda demu basi "ongea naye mpaka mwisho ni mia tano" in Masai voice
Nalog off
Kasome kanuni za ulinzi wa Amani, chini ya UN, utaona mlinzi wa amani, haruhusiwi kufanya mapenzi hata kwa hiari na mtu anaemlinda, kufanya hivyo inahesabiwa umebaka.

Inachukuliwa umetumia shida zake kumrubuni, hivyo hairuhusiwi, kufanya mapenzi na unaemlinda, ni sawa kwa Tanzania, mtu mzima kufanya mapenzi na mtu ambae hajatiza miaka 18 hata kama alihiari, uhesabika umebaka.

Hivyo hao wanajeshi, ukute hao wanawake walihiari na kuhongwa wamehongwa, na kinachowakamatisha ni mimba.
 
Bado vijana wa kike wa JKT wanawabaka sana pia, tunashauri rais Dkt Samia aingilie kati vijana wa kike wananyanyasika mno huko JKT.
 
Acha ushamba na kukurupuka.
Anaekurupuka ni wewe unaebaka haki za watu na hutaki ukweli ujulikane Tanzania ngono ndio kipaumbele na ukimwi umeshamiri ndio nchi ya wajinga mpaka leo bado wanaanbukizana ukimwi wakati duniani kote maambukizi yamepungua
 
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Kwahiyo wanajitibuje ugwadu wa mwaka mzima?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
NINA WASIWASI NA HII TAARIFA.
HAIWEZEKANI IDADI YA WATU WENGI KIASI HICHO IFANYE UBAKAJI.

Labda wahuni watatu watano.
wamebaka wanasingizia WATU wote.

Hii ni aibu KUBWA kwa JESHI letu.
HAO wanajeshi WANATAKIWA wapelekwe mahakamani.
Waliobakwa watoe USHAHIDI.

JESHI LIMEPAKWA MATOPE.


au ndio kututoa kwenye Reli msaada wa Bandari.
# SAMIA AMEUZA BANDARI
 
jeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Waondoe Warusi ni Mashetani wanachofanya Ukrain wanabaka watoto wadogo sana tena mbele ya wazazi wao hao sio binadamu ni wanyama
 
Pamoja na kuikomboa Uganda, lakini jeshi letu lilijizolea sifa ya ukwapuaji huko Uganda . Nilidhani waliacha
 
Ilitakiwa wamalizane kiutu uzima, shida wanawarusha hata kile kidogo wanachawaahidi, Wacha TU wachafuke, mtu unalipwa Kwa dola, unatembea na Binti unashindwa kumfariji Kwa vijisenti!? Kwa nini wasiwaripoti sehemu husika!?
Hivi wewe una akili timamu??
 
Wametumwa wakalinde amani wao wameenda kunyandua!!anyway wametuwakilisha!!!
 
Daah aisee hatari kabisa kwa hiyo wanarudi home kwenye familia zao kwa kosa la Tupac..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…