Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Majeshi ya kiarabu, yanalinda amani nchi gani.jeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majeshi ya kiarabu, yanalinda amani nchi gani.jeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Tatizo lako huna exposure ya kimataifa ndio maana una sema hivyo kijumlajumla tu!Anaekurupuka ni wewe unaebaka haki za watu na hutaki ukweli ujulikane Tanzania ngono ndio kipaumbele na ukimwi umeshamiri ndio nchi ya wajinga mpaka leo bado wanaanbukizana ukimwi wakati duniani kote maambukizi yamepungua
Ni kweli kabisa unachosema, nimewahi kuwapo kwenye "mission" fulani sehemu moja mbali huko iliwajumuisha na raia wa Uganda. Hao Waganda waliniambia kwamba hawatumii lugha ya Kiswahili kwa sababu hiyo ni "lugha ya WEZI". Nilipodadisi kwa undani zaidi niligundua kwamba sababu ya wao Waganda kuamini kwamba Kiswahili ni lugha ya wezi ni kutokana na madhila waliyopata kutoka kwa Wanajeshi wa Tanzania wakati wa vita ya Kagera.Pamoja na kuikomboa Uganda, lakini jeshi letu lilijizolea sifa ya ukwapuaji huko Uganda . Nilidhani waliacha
Wapi nimetaka ukweli usijulikane? Wapi nimetetea hayo matendo? Acha ukurupukaji.Anaekurupuka ni wewe unaebaka haki za watu na hutaki ukweli ujulikane Tanzania ngono ndio kipaumbele na ukimwi umeshamiri ndio nchi ya wajinga mpaka leo bado wanaanbukizana ukimwi wakati duniani kote maambukizi yamepungua
Sio fitna za single mothers, mwanaume kama unacho cha kupoteza jifunze kufunga zipu yako, waza maili kadhaa. Waache watu ambao hawana cha kupoteza wakitembeze.Hapo utakuta Wanawake wakicongo walifall in love na wajuba toka TZ wakawa wanawatega wahuni wakapiga na kusepa means kuna wengine waliachwa wakiwa na watoto sasa kama unavyojua fitina za single maza hazimuachi mtu salama.
Na wewe ukawaamini kwa maneno yao hayo?Ni kweli kabisa unachosema, nimewahi kuwapo kwenye "mission" fulani sehemu moja mbali huko iliwajumuisha na raia wa Uganda. Hao Waganda waliniambia kwamba hawatumii lugha ya Kiswahili kwa sababu hiyo ni "lugha ya WEZI". Nilipodadisi kwa undani zaidi niligundua kwamba sababu ya wao Waganda kuamini kwamba Kiswahili ni lugha ya wezi ni kutokana na madhila waliyopata kutoka kwa Wanajeshi wa Tanzania wakati wa vita ya Kagera.
Hatari sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]""Mlinda Amani,,anamnyanyasa Kingono,,Muhitaji Amani,,,Sidhani kama hiyo AMANI itapatikana??
Akili nyingi sanaSio fitna za single mothers, mwanaume kama unacho cha kupoteza jifunze kufunga zipu yako, waza maili kadhaa. Waache watu ambao hawana cha kupoteza wakitembeze.
Kama una kazi reputable utaelewa ninachosema. Ngono ya mara moja inaweza kukucost a thousands..
Ni issue za child protection na safeguarding wakati mwingine siyo lazima ufanye hata kujua tu ni kosaWatumeni wakalinde ile nchi iliyopitisha mchezo wa ngono ,
Ndiyo, baada ya kufanya utafiti wangu nikagundua kwamba ni kweli madai yao kwa kiasi fulani yana ukweli.Na wewe ukawaamini kwa maneno yao hayo?
Haya mkuu sisi waongea kiswahili ukiwemo wewe ni wizi lakini kwa uelewa wa akili yako siyo yangu!Ndiyo, baada ya kufanya utafiti wangu nikagundua kwamba ni kweli madai yao kwa kiasi fulani yana ukweli.
Nakupenda sana Cocahh!!!💞💞🤩🤩kama hutojali lakini!!Hatari sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubakaji unaozungumzwa hapo sio ule wakutumia nguvu kumwingilia mwanamke bali hata kama amekubali lakini yuko chini ya ulinzi wako then umebaka. Wanaweza wakawa walikubaliana kabisa kufanya tendo la ndoa lakini kwa kuwa hao wanajeshi walikuwa kwenye mission ya UN basi kisheria za kimataifa watakuwa wanahesabika wamebaka.Kwanini wasiwafanyie relocation wawapeleke Somalia?Anyway wamezingua sana,tena kimataifa duuuh! ukiona hivyo ujue imepitiliza.Sijui kwa vijana wa kike wanaoenda JKT inakuaje,watajijua wenyéwe.
Unataka kumfanya nini huyo mwanaume!!?Nakupenda sana Cocahh!!!💞💞🤩🤩kama hutojali lakini!!