Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Basi tuseme mkuu hapo unanishauri nn apo kijana wenu nko over stressed sjawahi penda hv naumia roho san
Hatua ya kwanza, in such a situation, maamuzi hubaki kwa Mwanamke. Yeye ndiye mwenye jukumu la kumuweka mbali, siyo wewe.
Kama amefanya jitihada lakini imeshindikana, then face the person kiungwana ili uweze kupata the other side of the story, maana hadi hapo una one side of the story.
Hizo zote ni approaches, baada ya hapo ndiyo action plan hutengenezwa kulingana na taarifa zilizokusanywa.
 
Wajeda kwenye mapenzi wapo week sana kuna ile video sijui ilirecordiwa wap mjeda analazimisha penzi mpaka anambeba mdada juu juu kama guni mrembo anapiga yowe kuomba msaada jamaa limekomaa tu halielewi linawaza kitumbua..hii nchi ina askari wa hovyo sana ani askari hajiamini hata tone...wana mamuzi ya kukurupuka kama ngiri
 
Dah kweLi mkuu ngja nijarbu kutafta namba ya huyu mjeda nincheki kiuungwana tu niongee nae aisee
 
Amini yaaNi nimejijuta nawachukia sana wajeda aisee kila kitu kofosi tu
 
Ulimwengu huu mwenye kisu kikali ndio anayekula nyama, tusifarijiane.
Nilishaishi na hao watu nawaelewa ila walinielewa zaidi, iwe ni uongozi, uanajeshi au iwe ni chochote alicho nacho mtu hicho ni chake kwa maslahi yake na shida zake, lakini kwenye maslahi yangu mimi pia ni mtawala na mlinzi mkuu.
Kwenye Mapenzi hakuna kanuni, ni swala la hisia and pride. Kama dem angekua yeye mwenyewe anataka basi angemla, hata mimi sihangaiki na dem akishafika pount hiyo. Lakini si kwa kumlazimisha au kwa kutumia nafasi yake, hapo lazima nifungue makucha na nimuonyeshe kazi ya Cuspids or vampire teeth and lastly, atapoteza tu.
 


Kamwe usiamini mwanamke anasumbuliwa na mwanamme, ukisema hapana, mtu anaelewa, kama ni kichaa haelewi unaenda na ushahidi kituoni kushtaki, Unaibiwa tu na huyo mwanamke tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…