Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikataa haya mambo mpaka Nchi za mbali huko Angola sijui SA na ndugu zake Mozambique kaburi lake bado hata halijapotea wahuni washaharibu taswira ya nyumbani mpaka hizo Nci tulizowasaidia wanatushangaa tumeonekana ni watu wa hovyo kupita maelezo.
 
Mr. BRN T..
Ongeza ulinzi

Samuya...
Ongeza ulinzi

Ritz ...Rizi1
Ongeza ulinzi

Jumanne..
Ongeza ulinzi

Faustine...
Ongeza ulinzi
Mtu anaetaka kufanya hapigi kelele uliwahi kumuona JK hana kelele ni lahisi watu kukuweka target ukifanya mambo yako kwa kelele hata anaweza kudakwa kwa kelele zake Kimbimbiza mwizi kimya kimya
 
Back
Top Bottom