Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Haitosaidia kitu chochote , muda utafika serikali haramu iliyojisimika bila ridhaa ya wananchi itachoka kufanya hizi sarakasi na itaaanguka kwa aibu.

Ni maajabu mtu unayesema ulichaguliwa kwa 98% unafunga comments mitandao ya kijamii yote na tangu hiyo siku useme umechaguliwa umejificha hutaki kuonana na uliosema wamekuchagua kwa kishindo.
 
Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
IMG_2412.jpeg
IMG_2351.jpeg
Hawa watu nyinyi na COLONEL AUGUSTINO mliowapa masaa 24 mjue wote ni familia moja, hapo wanaonyesha ubabe wao.
 
Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
Hivi wewe mleta mada umeshindwa hata kupiga picha. Na joto lote hili unatuletea ugali wa moto, mboga ya moto na maji ya moto yenye chumvichumvi kama nyapu yako?
 
Back
Top Bottom