We shall 👀Inasemekana awamu hii wajeda wamerudi kuichukua nchi.Maana huko makambini wanagombana sana Kwa kulaumiana kuwa Kwa Nini hawakuichukua nchi siku hiyo ya tarehe 29/10/2025? Kwa Sasa wameelewana na kurudi ili kuichukua nchi muda wowote kuanzia sasa
Kuna nyuzi ilitoa kma habari mpasuko dakika chache zilizopita, bakabaka wametajwa....ule uzi umepopolewa juujuu haupo tena....ikawe heri na sio shari kwa jina la mwenyezi munguInasemekana awamu hii wajeda wamerudi kuichukua nchi.Maana huko makambini wanagombana sana Kwa kulaumiana kuwa Kwa Nini hawakuichukua nchi siku hiyo ya tarehe 29/10/2025? Kwa Sasa wameelewana na kurudi ili kuichukua nchi muda wowote kuanzia sasa
🫢We shall 👀
Hao wapuuzi nilianza kuwadharau tangu siku ile nilivyoskia ile audio ya Mafwele anajigamba kuwa amewaweka kizuizini maafisa wao wawili eti kwa kosa la kuchana mabango ya samia ya kampeni...JWTZ walikuwa wanaheshimika sana, walikuwa wanakaa kambini. Ukiwaona uraiani ilikuwa ni jambo la dharura kama majanga ya asili, mafuriko.
Siku hizi wamekuwa kama mgambo, wanazurura hovyo mitaani.
Mfano, mkuu wa wilaya akiwa anazindua hata kisima cha maji, utaona mabaka kadhaa wako hapo.
Wanatumika sana kisiasa siku hizi.
Hadhi ya polisi wauaji inazidi kupanda huku wajeshi ikishuka mno.
Comparing Putin and that old bitch Samuya exposes your stupidity.Even putin is collapsing
Putin is not killing his own people, your blood monger woman is killing her own people including childrenEven putin is collapsing
Hawana kazi ya maana, wapo wapo tuu kula mshahara wa bureHv kule kambini kazi gani wanafanya... maana nikipita kambini pale huwa nawaona wamesimama simama bila project yoyote ya maana.... Mara kukimbia road na kuimba imba ******* utadhani Harmonize
Majike makatili zaidi duniani
ChauongoInasemekana awamu hii wajeda wamerudi kuichukua nchi.Maana huko makambini wanagombana sana Kwa kulaumiana kuwa Kwa Nini hawakuichukua nchi siku hiyo ya tarehe 29/10/2025? Kwa Sasa wameelewana na kurudi ili kuichukua nchi muda wowote kuanzia sasa
Wanamuogopa kanali Polepole 😹😹
Hapendwi.. hio ndio shida iliyopo halafu analazimisha kupendwa ni shida nyingine pia.. ukigundua hupendwi jitoe usilazimisheHatatawala kwa amani maisha yake yote