Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Inasemekana awamu hii wajeda wamerudi kuichukua nchi.Maana huko makambini wanagombana sana Kwa kulaumiana kuwa Kwa Nini hawakuichukua nchi siku hiyo ya tarehe 29/10/2025? Kwa Sasa wameelewana na kurudi ili kuichukua nchi muda wowote kuanzia sasa
Hawana uwezo huo. Mafwele anawachezea matako wenzao huku akitamba hawana maisha. Hawawezi kufanya lolote halafu ndio wapindue nchi
 
Back
Top Bottom