Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

Jeshi la waoga.

Jeshi la vilaza

Jeshi la wapumbavu

Jeshi la wafuga vitambi

Jeshi la kuwatii mafisadi

Jeshi la ovyo kuwahi kutokea duniani.

Nawaona wanazurura ovyo tu siku hizi utafikiri machokoraa.
JWTZ walikuwa wanaheshimika sana, walikuwa wanakaa kambini. Ukiwaona uraiani ilikuwa ni jambo la dharura kama majanga ya asili, mafuriko.
Siku hizi wamekuwa kama mgambo, wanazurura hovyo mitaani.
Mfano, mkuu wa wilaya akiwa anazindua hata kisima cha maji, utaona mabaka kadhaa wako hapo.
Wanatumika sana kisiasa siku hizi.

Hadhi ya polisi wauaji inazidi kupanda huku wajeshi ikishuka mno.
 
Jeshi la waoga.

Jeshi la vilaza

Jeshi la wapumbavu

Jeshi la wafuga vitambi

Jeshi la kuwatii mafisadi

Jeshi la ovyo kuwahi kutokea duniani.

Nawaona wanazurura ovyo tu siku hizi utafikiri machokoraa.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom