Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

⚡️BREAKING:

Kulingana na vyanzo vya Kiebrania, idadi ya wanajeshi waliouawa kusini mwa Lebanon imeongezeka na kufikia wanajeshi 9, wengi wao wakiwa vipande vipande, na shughuli za kuwahamisha bado zinaendelea.

Jengo hilo lilishambuliwa na makombora kadhaa ya kuongozwa.
 
Habari njema
⚡️BREAKING:

According to Hebrew sources, the number of soldiers killed in southern Lebanon has risen to 9 soldiers, most of them in pieces, and evacuation operations are still ongoing.

The building was bombarded by a number of guided missiles.
 
Wewe endelea kuvaa pampas maana ndio dunia ulioichagua uharo unakutoka tu mambo yetu tuachie wenyewe
Mim mambo yenu nimewachia nyie maana siwezi danganywa na mudi nikakubali
 
BREAKING: Hezbollah yalenga wizara ya ulinzi ya Israel kwa mara ya pili leo.

"Wapiganaji wa Upinzani wa Kiislamu walilenga, kwa mara ya pili, msingi wa "HaKirya" (makao makuu ya Wizara ya Vita na Wafanyikazi Mkuu wa "israeli", Chumba cha Usimamizi wa Vita, na Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Kijeshi wa Jeshi la Anga) Kilomita 120 kutoka mpaka wa Lebanon na Palestina, katika mji wa "Tel Aviv", na makombora ya balestiki ya Qader-2, na kugonga malengo yao kwa usahihi"
Thaad zilikua zimejisahau heheehe
 
⚡️BREAKING:

Kulingana na vyanzo vya Kiebrania, idadi ya wanajeshi waliouawa kusini mwa Lebanon imeongezeka na kufikia wanajeshi 9, wengi wao wakiwa vipande vipande, na shughuli za kuwahamisha bado zinaendelea.

Jengo hilo lilishambuliwa na makombora kadhaa ya kuongozwa.
Wamefika kumi tayari
 
Wanaukumbi.

⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.

🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.

🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20.

View: https://x.com/suppressednws/status/1856194763201929559?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

si uwaache wafe we unaumia nini wakiona wanakufa watasitisha vita maana wao ndo wana nguvu kusema iishe au iendelee
 
Nyie motoni milele
Bora uniambie moton naweza amini, lakini kuniambia kuwa ntapewa mabikra 72 na mito ya maziwa na pombe hapana aisse, tena story yenyewe imetoka kwa mudi ambaye alikula katoto ka miaka 9
 
Wazayuni wanaikimbia Haifa sasa wanajazana teli avivu na huko watafikiwa ni suala la muda tuuuu
Huu waziri mkuu ni kichwa maji kabisa mtu anaamini kila kitu ni nguvu za jeshi .eti atawarudisha wakaZi wa kaskazin badala yake mpaka wa miji ya kati nao wameondoka wanajazana telaviv
 
Huu waziri mkuu ni kichwa maji kabisa mtu anaamini kila kitu ni nguvu za jeshi .eti atawarudisha wakaZi wa kaskazin badala yake mpaka wa miji ya kati nao wameondoka wanajazana telaviv
Neta paka akili hana
 
Bora uniambie moton naweza amini, lakini kuniambia kuwa ntapewa mabikra 72 na mito ya maziwa na pombe hapana aisse, tena story yenyewe imetoka kwa mudi ambaye alikula katoto ka miaka 9
Kuamini ama kutokuamini sio tatizo langu mtu una abudia kiumbe utaamini nini wewe
 
Wamezidiwa nimecheka Waziri mpya kaja na mpango eti wawanyanganye silaha Hezbollah wenzake wamemshangaa😀
mkuu w Jeshi kamwangalia waziri, uku moyoni anajisemea wamewaza ushuzi uko wanatuletea sisi jukum la kwenda kwa wale wajuba kuwanyang,anya mitutu ivi kweli vichwani wako sawa awa. Kenge maji uyu wanawazaga ushuzi tu kichani kule Gaza ngoma ngumu afu tukachukue mitutu ya hezbullah washatuchoka awa sio bulee!!🤔🤔🤔
 
Vita mbaya sana wanaokufa na kupata vilema wanajesh ukiona iyo kati ya waziri na wajeda utaona kabisa waziwazi wajeda na waziri sawa na simba na yanga nyuso za wajeda azina bashasha yoyote zimejaa hofu ya kifo au kupoteza viungo vya mwili nasema tena kwa mala ya kwanza ktk historia hii vita Israel inaenda poteza kwa aibu na kushindwa kukubwa sana. Binafsi sina chuki na wazayuni wapo ktk wao watu wazuli sana asa wakiwa nchi zdngine lkn wakiwa kule Israel wanageuka kama wanyama lkn naunga mkono walsrael ata m1 wapate uraia wa tz. Wakiwa tz wanaishi kwa aman mashamba yapo seem za viwanda zipo waje tz hii dunia ni 1 wataish kwa aman TZ lkn waking,ang,ania kile kipande cha ardhi pale walipo kitawatokea puani Mwarabu atokuja kusema nimeshindwa utauwa watu wake lkn akomi kamwe atadili tu plan miaka na miaka lkn lazima ushindwe ww.
 
Back
Top Bottom