Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
unaweka habari za janjaweed za zaidi ya miaka 20 nyumaNakulipia nauli ukaishi Sudan ukakutane na ndugu zako waarabu (Janjaweed)
Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened! Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au...www.jamiiforums.com
au janjaweed hao ni hawa wa CCM zanzibar??